Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,419
- 4,111
Asante sanaMpotezee. Akichoka kuhangaika atatulia mwenyewe..
Sina upwekeNicheki PM nimalize tatizo lako la upweke.
Oooh asante my❤️Pole sweetieee 😁
Nipishe huko weee kilemaUkiwa serious sana JF na kuona kila kitu humu n cha kukiweka wenye maisha yako, utajiumiza.
Kuna wawendawazimu pia humu, mbaya zaidi ni kuchukua wanayoyasema na kuyaweka Kwako.
Kwenye maisha kuna kila aina ya mtu.. Tungejifunza kuchukuliana kwenye maisha dunia ingekuwa salama sanqaOooh asante my❤️
Wanaume hawapo??Shikamoon wakubwa
Wadogo zangu hamjambo!
Jamani si kila mtu ana njaa,au ana shida,si kila mwanamke anajiuza,kuuza mwili ni Aina na hulka ya mtu tu Marry Mimi siwezi ,napenda kuwa na mwanaume mmoja na kutulia naye, bahati mbaya hawapo pia unaishia kuumizwa na kuchukia mahusiano.
Tuachane na hili ,kuna mtu alinianzishia Uzi siku ya jumapili na kunisema Mimi Nina njaa ,najua huenda ni utani lakini unavyosambaza taarifa za uongo ni kwamba unamchafua muhusika na kuna baadhi hujikuta wanaamini
Uongo husambaa zaidi kuliko ukweli,tuheshimiane.
😁Marry diana ni malaya wala tusifumbie macho. Olewa mkuu.
Eh kosa langu lipi tena mdada 😂Nipishe huko weee kilema
Wazee wa kamati 😂