Mi nakutafuta wewe
Naomba no za huyo wa tigo na huyo ambae mama ake anakutaka
Siunatafuta?
We jamaa mnafiki wewe
We jamaa mnafiki wewe
Criston Cole ana madem huyo team ya mpira na sub acha kabisa simtak.😂😂😂bora umbebe msukuma mwenzio criston
Mhh ngoja kwanza bwana harusi atume pesa ya sikukuu akinihonga zaid ya ma x wake wote eeh hakuna haja ya sherehe mahali yangu itakua bible tu
Huyo mmoja tu sina eti😅Criston Cole ana madem huyo team ya mpira na sub acha kabisa simtak.
Kama nakutaka wewe je??😂😂😂bora umbebe msukuma mwenzio criston
😂😂😂Huyo mmoja tu sina eti😅
😂sisi tulishayamaliza mkuu😉Kama nakutaka wewe je??
Mi nimemiss lile joto la kukumbatiana ule mwanzomwanzo wa mahusiano
😂😂😂😂😂😂 Sijui nimgawe kwa nani😏simtaki mie huyo mzab