Nadhani huyu dada atakimaliza kifua changu

Bora wewe wa kung'atwa kifuani aiseee

Mimi kuna demu fulani hivi hapa kitaani kwetu tukiwa tunagegedana huwaga ananing'oa kope na nyusi zangu na nywele za kichwani akitaka kukojoa tu

Yaani hapa nilipo sasa hivi nikituko aiseeee

Nipo kama mbwa mzee [emoji24] [emoji24]
 
sio lazima afike kileleni... we piga tu halafu tembea
 
kwa wastani huyo ni Chui sio Bunadam ila inatakiwa uwaulize wataalam watakujuza zaidi
 
Simple mkuu...hakikisha kabla ya kuanza unafunga shingo yake kwenye tendegu, wewe unachukukua kipande cha mbao ya mninga unakinga nayo kifua...ikishikana hayo yote akianza kukutafuna tuu piga kelele za mwiziii mwiziiiiiiIiiiiiiiiiiii!!
Umenifanya nicheke kwa nguvu mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Tafuta kofia ngumu (Helmet) kama za wapanda pikipiki zenye kioo mbele umvalishe wakati wa mgegedo!!
 
Wasalaam,

Nina tatizo ndugu zangu,tena tatizo kubwa sana.Kifupi ni kwamba mimi nina mpenzi wangu ambaye kwasasa yapata miezi sita toka tulipoanza mahusiano yetu. Nampenda sana na mimi nadhani ananipenda sana.

Nimeandika nadhani kwa kuwa sipo ndani ya moyo wake lakini kwa vitendo na maneno ni wazi kuwa ananipenda sana. Lakini tatizo lililonifanya nije hapa kwenye jukwaa letu ni juu ya hali inayomtokea mwenzangu tukiwa kwenye tendo.

Mwenzangu kila anapokaribia kukifikia kile cha mlima kilimanjaro basi huning'ata kifuani kwa meno na kunisababishia maumivu makali sana na ikitokea nimemuweka staili tofauti hasa dogstyle basi kama godoro halina foronya basi hujikuta akilitoa vipande vipande kutokana na hali inayomtokeaga.

Lakini kingine kinachonishanga ni hili.Baada ya kumaliza tendo na akaniona natokwa na damu kifuani au akiona chini kuna vipande vya godoro huonyesha kushangazwa na hali pia huniuliza kipi kilichonisibu.Kwa kweli hali hii imenichosha sana na kila ninapojaribu kumwambia ukweli na jinsi anavyoniumiza huwa haamini na kudai kuwa namsingizia.

Je, wanajukwaa wenzangu kunamtu ameshawahi kukutana na hali hii? Je kwa kina dada je nikweli kuna raha za aina hii ambazo husababisha kero kwa watu wenu?

Naomba msaada na ushauri wenu maana mpaka kufikia hapa kifua changu kimejaa makovu kutokana na meno.
hiyo kali,sijawahi kuisikia.
hata hivyo baadhi ya wanawake hutokewa na hali tofauti tofauti pindi wanapofika kileleni,wapo baadhi hupoteza kabisa network,wengine humwaga haja ndogo kwa wingi na baadhi hata kubwa,wengine hupiga kelele nk,
endelea naye kwa staili ya mbwa ili ang'ate godoro,kwani anaweza kukujeruhi
 
kuwa makini kama kawahi kuumizwa,labda ndo revenge yake hyo .me nishawahi kuwa na mahusiano na dem anafinya masikio akiwa kwenye peak,nilikuwa natoka masikio yamepauka balaa,ila hyo ya kung'atana mkuu mbaya.haha kama vp vaa bullet proof.
 
Wasalaam,

Nina tatizo ndugu zangu,tena tatizo kubwa sana.Kifupi ni kwamba mimi nina mpenzi wangu ambaye kwasasa yapata miezi sita toka tulipoanza mahusiano yetu. Nampenda sana na mimi nadhani ananipenda sana.

Nimeandika nadhani kwa kuwa sipo ndani ya moyo wake lakini kwa vitendo na maneno ni wazi kuwa ananipenda sana. Lakini tatizo lililonifanya nije hapa kwenye jukwaa letu ni juu ya hali inayomtokea mwenzangu tukiwa kwenye tendo.

Mwenzangu kila anapokaribia kukifikia kile cha mlima kilimanjaro basi huning'ata kifuani kwa meno na kunisababishia maumivu makali sana na ikitokea nimemuweka staili tofauti hasa dogstyle basi kama godoro halina foronya basi hujikuta akilitoa vipande vipande kutokana na hali inayomtokeaga.

Lakini kingine kinachonishanga ni hili.Baada ya kumaliza tendo na akaniona natokwa na damu kifuani au akiona chini kuna vipande vya godoro huonyesha kushangazwa na hali pia huniuliza kipi kilichonisibu.Kwa kweli hali hii imenichosha sana na kila ninapojaribu kumwambia ukweli na jinsi anavyoniumiza huwa haamini na kudai kuwa namsingizia.

Je, wanajukwaa wenzangu kunamtu ameshawahi kukutana na hali hii? Je kwa kina dada je nikweli kuna raha za aina hii ambazo husababisha kero kwa watu wenu?

Naomba msaada na ushauri wenu maana mpaka kufikia hapa kifua changu kimejaa makovu kutokana na meno.

Mkuu kifua ndiyo sababu ya kifo chake basi kupitia huu uzi wake uchunguzi uanze hapa mshana jr
 
Rest in peace hommie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom