Msoga gang na chadema mnatapatapa sana legacy ya wazalendo itashinda tuMambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Kila kitu kimepangwa sawiaLabda wanamuona kama karata turufu
Duuuuuu, mbona huyo mzee alimwangalia bashite vibaya hvo?
Mshua kamkata jicho hata nzi au mbu anaweza ogopa kukatiza mbele
dogo kuna kitu au mtu anampa kiburi, hawezi kuwa na confidence za aina ile kama hakuna mweneymbwa.Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Na ndio siku atashangaaa na yeye.Kushangaa kwao hakumzuii bashite kuwashangaza ipo siku atawapa maagizo wao
Na ndiko anakoelekea. Maana kwa sasa amejipachika cheo cha namba 2 kwenye chama, na pia serikali kutokana na matamko yake ya kutatanisha na pia kustaajabisha.Kuna siku bashite atamwita kinana njoo hapa ujibu hili jambo
Wait and see
Hahahaha..Kalemani anacheeeekaaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na badoView attachment 2810402
Umesahau nape na kinana chama kiliwafia mikononi.Kwa hali iliyopo ya baadhi ya watanzania kuanza kuichukia Ccm kama miaka ya nyuma.bashite na mwendo wake huu anaweza kuwasaidia kama alivyo saidia Nape na kinana kipindi cha kikwete
Anachofanya, kwa wana ccm, ni sahihi, kuiweka ccm ndani ya vinywa vya wananchi, ccm inachukiwa, wa piga debe wote ni wazee,hawana jipya kwa kizazi kipya! Walihitaji jitu lenye charisma ya kuongea kama makonda! Na ukitegemea Ni jambazi Ali kuwa Muuaji mkuu wa Jiwe kama alivyokuwa(Maliyungu kwa Idi Amin), watu bado wana kumbuka you na kihoro alichowapitisha wakati wa u tawala wa Giza wa MaghuMambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!