Nadhani bado sijaelewa kuhusu hii kodi ya majengo

Nadhani bado sijaelewa kuhusu hii kodi ya majengo

Nadhani baraza la Madiwani la maeneo husika ndilo linapanga (sina uhakika ila kwa kuwa kodi ya majengo ilikuwa chini ya halmashauri nahisi kila halmashauri ilikuwa inapanga bei yake)

Ok ndiyo maana
 
Ok ndiyo maana
Alafu ni mie miaka yote nilikuwa napigwa maana Ilemela kwa mujibu wa TRA ni 15,000 na mie tangu 2010 nilikuwa nalipa 20,000 ambayo dogo ameenda Ofisi ya Kata wamemwambia sasa hivi imepanda ni 15,000 which means nilikuwa napigwa labda kama yumba ya biashara au vipi?
 
Naamini kabisa watumishi walitumia mwanya huo wa kila halimashauri kuwa na viwango vyake kuwaibia watu,
 
Akili zimeanza kuwarudi ee.... Subirini 1st July sasa...

Nyinyi si mlikuwa mnashangilia bajeti...

Tutaelewana Tu.
 
Kodi ya majengo ni Tsh 10,000 kwa mwaka kwa nyumba ya makazi, hiyo 90,000 itakuwa ya biashara au itakuwa wamejichanganya.
 
a64ec4ce61795972e1e53a8b5b3bafd3.jpg
wakuu nimerudi kazini nakutana na barua kutoka TRA kulipa kodi ya majengo tatizo nyumba yangu ni yakuishi tu naambiwa nilipe 90000 juzi serikali si ilisema nyumba za chini ni elfu kumi hii 90000 inakuwa aje tena na mikoa mingine nayo ni hivi hivi au ni huku mwanza tu

Wanakudai na madeni ya nyuma ukalipie
 
Back
Top Bottom