Nadhani bado sijaelewa kuhusu hii kodi ya majengo

Wadau hebu tujiongeze na tusijitoe ufahamu mbona bia na sigara waziri akipandisha hatusemi bei zianze mara moja? Tuache kujitoa ufahamu.Waziri katoa mapendekezo na mpaka bunge wajadili wakipitisha kuanzia Julai,2017 ndiyo itakuwa utaratibu.Je angesema laki 5 ungesema barua uliyopewa ineandikwa 90,000 hivo unataka ongezea kikichopungua?Wewe kalipe tu.Nachojua wazee wa miaka 60+ wenye nyumba mmoja ambayo siyo ya biashara wamesamehewa na walemavu wasiokuwa na shughuli ya kuwaingizia kipato nao wamesamehewa.
Wanalipa hakuna msamaha mzee wangu analipa kitambo sana now 65
 
Mambo mengine nimagumu Sana. Yanii ujengee kwa tabu kwa gharama za juu,halii ilivyongumu bado mtu anakujaa kukwambia ulipie kodi yan unalipia sehemu unayoishii sibora ingekuwa ya biashara? Bado kidogo kodi yakichwa inarudii. Ukiendesha gari kwenye lami ulipie na baraba baraa ya vumbii iwepo na bei yakee kutokana na garii
 
Mambo mengine nimagumu Sana. Yanii ujengee kwa tabu kwa gharama za juu,halii ilivyongumu bado mtu anakujaa kukwambia ulipie kodi yan unalipia sehemu unayoishii sibora ingekuwa ya biashara? Bado kidogo kodi yakichwa inarudii. Ukiendesha gari kwenye lami ulipie na baraba baraa ya vumbii iwepo na bei yakee kutokana na garii
Tena kwenye kukadiria kodi ya jengo wanaipaisha nyumba yako ionekane ina thamani ya juu, kimbembe kama unatakiwa ulipwe fidia kupisha kitu chochote kwa manufaa ya umma, thamani ya nyumba inakuwa chini tena
 
Hivi step za kulipia zinakwendaje ili upate hiyo karatasi maaana mara ya mwisho kulipa ilikuwa mwaka jana mwezi March katika ofisi ya kata ....sasa kwa TRA sijui inakuaje hapo?naomba nijuze
....Nenda ofisi ya kata na risiti ya mwisho, utaandikiwa barua uende TRA
 
Kwa Nijuavyo Mimi Mwanzo Ilikua Kodi Ya Makazi, Hyo Ya Nyumba/ Jengo Labda Iwe Imekuja Saiz. Kwa Dar Mf. Pale Home Tulikua Tunalipa Elf80 Kwa Mwaka Kwa Eneo Lote 2nalo Miliki. Mm Bnafsi Na Support Kodi Ya Makaz/Maeneo Tunayomiriki Ili Kupunguza Ujinga Wa Wa2 Kukaa Na Maeneo Mengi, Wengine Mashamba Makubwa Wkt Hayo Maeneo Hayazalish. Huko Ni Kuukalia Uchumi. Serikali Pia Ilikua Inakosa Mapato Mengi Sn Mf. Gest, Nyumba Za Kupanga, Frem Za Kupangisha Na Hata Wanamichezo Walikuwa Hawakatwi Kodi Ndo Wameanza Miaka Ya Karibuni. Bado Tulikua Tumeukumbatia Ujamaa, Wkt Dunia Ipo Tofauti, So Cwez Laumu Pia.
 
kodi ya jengo hailipwi kwenye jengo la biashara tuu hata nyumba ya kuishi inalipiwa
Nalifahamu hilo mkuu,nadhani tulikuwa tuna-discuss na mdau mmoja kuhusu kulipa kodi 360,000 ambayo tuliiona ni kubwa ndo maana mjadala ukaegemea kwenye nyumba ya biashara (of course tulikuwa na sintofahamu kwa baadhi ya vigezo)
 
Nimeshangaa, Mwanza wanalipa 20,000 na Tabora wanalipa 25,000, Songea 12,500, Mbeya 5,000, Dodoma 3,000 kweli kuna kiini macho sijui wanatumia vigezo gani,
Nadhani baraza la Madiwani la maeneo husika ndilo linapanga (sina uhakika ila kwa kuwa kodi ya majengo ilikuwa chini ya halmashauri nahisi kila halmashauri ilikuwa inapanga bei yake)
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom