Nadaiwa tsh laki moja na nusu 150,000/= naombeni msaada, mawazo kwani mdeni ananikosesha amani

01-01-2025

Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
16
Reaction score
21
Hili suala limefikia hatua ya kunikosesha amani kabisa, hadi natamani kuhama mji kutokana na kushindwa kumlipa deni hili.

Mwanzo wa tatizo:
Nilianzisha biashara ndogo kwa kutumia mtaji niliokuwa nao. Baadaye, bwana mmoja alifika katika eneo langu la kazi na akapendekeza kwamba anayo kiasi cha pesa ambacho kwa wakati huo hakina matumizi. Aliniambia niitumie kwenye biashara, na akihitaji angenijulisha. Bila hiyana, nilikubali na nikapokea kiasi hicho cha pesa — *Tsh 150,000/=.

Baada ya mwezi mmoja, biashara yangu ilikuwa ikiendelea vizuri, nikafikiri si vibaya kumrudishia pesa yake ili niwe huru kiakili. Lakini alikataa, akaniambia niendelee kuitumia kwani yeye akichukua ataitumia vibaya. Sikutambua kuwa huo ndiyo ungekuwa mwanzo wa matatizo yangu.

Baada ya muda mfupi, biashara ilianza kuyumba hadi kufikia hatua ya kufungwa kabisa, na mtaji wote ukaisha. Kuanzia hapo, ndipo jamaa alipo anza kudai pesa yake kwa ukali.

Nimejaribu nme jitahidi kila njia kupata pesa hiyo lakini hadi sasa nimemshindwa, na hali inanitiq stress sana kwani ana piga simu kila dk na me moyo una niuma kwani ana dai ana tatizo pia ana itaji iyo pesa kwa haraka

Kiasi unqcho tumia kwa dk ni kiasi kinacho tafutwa kwa mwezi na hakipatikqni kwa mwenzako .
Naombeni ushauri na msaada iki bidi kwani akili yangu imefika mwisho kuhusu kwa nini nisi uze simu ,simu nayo tumia hata kwa tzsh elfu 20 mtu hawezi chukua .
 
Pole sana, ungeweka namba labda mtu anaweza kuguswa akakusaidia 😒
 
Aisee watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, muwe mnasoma vitabu kuhusu biashara na uchumi pia unawezaje kopeshwa hela kwa kushawishiwa na wakati uhitaji nayo kama si tamaa ni nn, dunia ina mambo mengi ulimwengu wa roho ukute uliwekewa tego ukanaswa kuptia kupewa hela hiyo, jipange aisee pengne hiyo biashara yako wameinyonya na katu hutotoboa mzee, jipange kumrudia MUNGU KWANZA ksha urudi kwny shughuri zako.
 
Naombeni ushauri na msaada iki bidi kwani akili yangu imefika mwisho kuhusu kwa nini nisi uze simu ,simu nayo tumia hata kwa tzsh elfu 20 mtu hawezi chukua
Hili suala limefikia hatua ya kunikosesha amani kabisa, hadi natamani kuhama mji kutokana na kushindwa kumlipa deni hili.

Mwanzo wa tatizo:
Nilianzisha biashara ndogo kwa kutumia mtaji niliokuwa nao. Baadaye, bwana mmoja alifika katika eneo langu la kazi na akapendekeza kwamba anayo kiasi cha pesa ambacho kwa wakati huo hakina matumizi. Aliniambia niitumie kwenye biashara, na akihitaji angenijulisha. Bila hiyana, nilikubali na nikapokea kiasi hicho cha pesa — *Tsh 150,000/=.

Baada ya mwezi mmoja, biashara yangu ilikuwa ikiendelea vizuri, nikafikiri si vibaya kumrudishia pesa yake ili niwe huru kiakili. Lakini alikataa, akaniambia niendelee kuitumia kwani yeye akichukua ataitumia vibaya. Sikutambua kuwa huo ndiyo ungekuwa mwanzo wa matatizo yangu.

Baada ya muda mfupi, biashara ilianza kuyumba hadi kufikia hatua ya kufungwa kabisa, na mtaji wote ukaisha. Kuanzia hapo, ndipo jamaa alipo anza kudai pesa yake kwa ukali.

Nimejaribu nme jitahidi kila njia kupata pesa hiyo lakini hadi sasa nimemshindwa, na hali inanitiq stress sana kwani ana piga simu kila dk na me moyo una niuma kwani ana dai ana tatizo pia ana itaji iyo pesa kwa haraka

Kiasi unqcho tumia kwa dk ni kiasi kinacho tafutwa kwa mwezi na hakipatikqni kwa mwenzako .
Naombeni ushauri na msaada iki bidi kwani akili yangu imefika mwisho kuhusu kwa nini nisi uze simu ,simu nayo tumia hata kwa tzsh elfu 20 mtu hawezi chukua .
Never accept free drink
 
Aisee watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, muwe mnasoma vitabu kuhusu biashara na uchumi pia unawezaje kopeshwa hela kwa kushawishiwa na wakati uhitaji nayo kama si tamaa ni nn, dunia ina mambo mengi ulimwengu wa roho ukute uliwekewa tego ukanaswa kuptia kupewa hela hiyo, jipange aisee pengne hiyo biashara yako wameinyonya na katu hutotoboa mzee, jipange kumrudia MUNGU KWANZA ksha urudi kwny shughuri zako.
Mkuu biashara ili yumba kwa matokeo na matatizo ya njee ya biashara ila sio ndani ya biashara
 
Doooh pole sana mkuu, me nakupa wazo nenda utafute kazi either ya saidia fundi wanaolipa 15k kwa siku au 10k kapige hiyo kazi kwa siku kadhaaa tu unampa hela ake

Au tafuta kazi kiwandani hapo dar mkuu

Kwa hiyo jamaa alikuja tu from nowhere, hakujui haumjui na akaamua kukupa pesa yake kiroho safi?

Mtu wa namna hiyo sidhani kama hata kama angepata shida, angeitegemea hiyo 150K kiasi cha aanze kukudai kwa pupa ivo.

Nachotaka kusema hapa ni kwamba stori yako ina matobotobo.
 
Tuna fahamiana mkuu ni alifika eneo langu la kazi kwani hakua amewai kufika ,
 
Doooh pole sana mkuu, me nakupa wazo nenda utafute kazi either ya saidia fundi wanaolipa 15k kwa siku au 10k kapige hiyo kazi kwa siku kadhaaa tu unampa hela ake

Au tafuta kazi kiwandani hapo dar mkuu

Nipo dodoma mkuu, kazi naendelea kufanya ila uyu bwana anavyo dai kuna ninyima aman kuna watu wana dai vibaya saaana .
 
Lipa hela hiyo,nimeshuhudia jioni jana mtu akipigwa km mbuzi huku anapiga makelele anauliwa tulipita tu pale
Km hatuoni ,hatujui mambo yao maana pale yule jamaa alitaka aondoke nae kabisa.
Sasa hatujui walizulumiana wapi.
Na mie nilikua busy na mambo yangu.
So nikawaacha tu waendele kubondana si kupoteza muda wangu pale.dicently nilikua na mambo ya muhimu na sikuwa na zana.ningemuokoa yule bwamdogo sekunde tu nilikausha ili ratiba zisiingiliane.
 
Back
Top Bottom