Nadaiwa tsh laki moja na nusu 150,000/= naombeni msaada, mawazo kwani mdeni ananikosesha amani

Nadaiwa tsh laki moja na nusu 150,000/= naombeni msaada, mawazo kwani mdeni ananikosesha amani

Nimesoma janga linalokupitia na limeniuma moyoni kwasababu nilipitia hili janga na matatizo mengine makubwa zaidi ya haya
Kiuhalisia watanzania wengi tunaishi ndani ya msongo mkubwa wa mawazo kwasababu lolote likitutokea wengi wetu hatuna watu tunaowafahamu ambao wanaweza kutupa msaada hawa wa laki Moja
 
Daaah pole sn mwamba haya maisha haya hata sjui nisemeje. Mi bnafs ni mgumu sn kukopa, naish kwa kile nlichonacho, stak hata mambo ya vikundi sjui kuchangiana sjui vicoba stak kbs mimi, mambo ya kwa wk au mwez natakiwa kutoa hela kwny kikund nmekataa hzo dili, sina maden na sdaiwi na mtu kbs npo huru kwny hlo..
 
Oneni hii NILIVYOFATWA KWANGU KWA WIZI WA LAPTOP
Miaka kama 10 imepta wkt maisha yamenpga sn na demu wng ana mimba yuko hoi taaban amekonda mpk watu wakawa wanasema ana ukimwi.
Kuna jamaa yng 1 alikuwa na connection na wazungu akaanzsha NGO, bnafs ni mzuri wa kuandka project proposal na yule jamaa yng shule ilimpta kushoto akaniomb nijiunge kwny ofs yake kwa lengo la kuwa naandka hzo proposal na kumsaidia kuzungumza na wazungu wake.
kwangu goba ofs ukonga, hela hakuna, home nina mjamzto na mtoto mdogo, nlikuwa naenda uko ukonga nalala ofsn mbu wng, joto langu maana hakukuwa na dirisha ilikuwa na frem tu ya biashara, nalala chn hata kuoga tu tizi, chakula tizi jamaa mwnyw analia shda tu.
Nilikua nakaa wk nzma wkend nambana jamaa ananipa ten narud kuwasalimia nikiwa na chochote, kuna sku jamaa na demu wake waliondoka kwenda mahali, nlikaa kama sku 2 pale ofsn nawasaidia kazi, nliamua kurud kwng nikiwa na laptop ya ofsini...NAENDELEA
 
Party 2 NILIVYOFATWA KWANGU KWA WIZI WA LAPTOP.
Yes nlirud kwangu nikiwa na laptop ya ofs, bahati mbaya sn cm nliyokuwa natumia ilipata shda ya kioo kilianza kutetemeka na ksha inajzma, hivyo nikakosa mawasliano na yule jamaa yng na pia skuwa na nauli ya kurud kule ofsn.
Kumbe jamaa ameshanitafuta sn hanipati eeeh akapata hisia mi nimeamua kuiba laptop na nimekmbia na kuzma cm, kwangu alikuwa hapajui ila nlipokuwa nasali aliwahi kufka.
Alifka mpk pale akiwa na demu wake wakaniulizia na wakatoa madai ya mimi kuiba laptop wakaelekezwa kwangu, bahati nzuri walinikuta ndani npo na pc naendelea kuchapa proposal, wakaingia bila hodi huku wakpga kelele na kejeri kama zote.
Nikawaomba wawe watulivu ndan kwangu niwambie na nitoe na ushahid wa ubovu wa cm yng, hawakuniskiliza walinisema sn kwmb mi ni mwizi stakiw skilizwa wakanidhalilisha kwa majiran na kule kanisan nlijskia uchungu sn nikiunganisha na msoto nliokuwa nao daaah, nliumia skuwa na wa kunihurumia wala kunitia moyo, nlikata tamaa ya kesho yng....ASANTENI.
 
Back
Top Bottom