Nadaiwa na microfinance million Tano

Nishakupa ahadi mkuu, tafuta tu siku nzuri kwako, yote hayo tutayajadili kwa kiwango chochote utakachotaka mwenyewe.
Huwa sina fungu maalum ninalolazimika kujifunga; hata hilo la uzoa takataka naliweza sana.

Wewe huna full contract unapiga part-time job sio
 
Microfinance huwa ni Wezi wa kimacho macho.
Poleeee
 
Fungua kesi mkalipane mahakaman bila hivyo utakuwa chuma ulete. Hao jamaa ni kenge mzee sio mchez0

Unaweza klipa leo milion 4 baada ya miezi niwili hesabu zitakuja unadaiwa milion 2 na nusu
Kwamba ajishitaki siyo🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…