Wale jamaahesabu zao sio za level hii. N mikopo yao n dhaman unachukua unaposhikwa kwelikweli hujali. Mkopo wa miezi mitatu riba unakita 50%. Usikute jamaa analipa milion 5 alikopeshwa milion 3 n lki 6.Uliangalia interest, time na fees unazolipa, tuanzie hapo, weka number zote tukusaidie
Sijui mtu wa haki na anayemwogopa Mungu anawezaje kufanya biashara ya riba, ni dhulma halali!
Sio kweli, kwan kasema shida ni mkataba? Au kafeli marejesho. Note: ile ni biashara na hela uliyopewa ni mtaji, ukikopa kuwa msitrabu kulipa pia.Jina la ofisi : chidindu wabindindu microfinance
Jina la Mkurugenzi : Msakauzi chidindu
Mahali : Tegeta nyololi
Unakuta mwenye ofisi kaajiriwa na hiyo ofisi kajiajiri kama side hustling. Hapo mtauana bure tu... suluhu mkataba ukaangalwe upya deni lilipwe na mahakama
Mkuu tafuta mkurugenzi wa hiyo office su kampuni kaa nae mezabi mwambie hali halisi na muombe asimamishe ongezeko la riba na mpe ratiba yako namna utakavyopambana kulipa, ofisi wakiwa waelewa watakupa hiyo fursa. Epuka wasije kureport credit bureau itakusumbua huko mbeleni kukopesheka eidha micorofinance au benki.
Aseme alopew kias gan alafu alitakiwa kulipa kias gan kwa muda gan ili tuone kama ilikuwa fair chargeSio kweli, kwan kasema shida ni mkataba? Au kafeli marejesho. Note: ile ni biashara na hela uliyopewa ni mtaji, ukikopa kuwa msitrabu kulipa pia.
Dhuluma inatoka wapi? Riba ndio faida ya mkopeshaji. Yeye anatafuta hela kwa jasho lake,anakupa ufanyie mambo yake kwa makubaliano riba ni kiasi fulani hela irudi baada ya muda fulani isiporudi hatua atakazochukua ni hizi sasa dhukuma iko wapi? Ulitaka upewe hela bure tu?Sijui mtu wa haki na anayemwogopa Mungu anawezaje kufanya biashara ya riba, ni dhulma halali!
Hiyo sehemu ya pili ndiyo inayotakiwa ufafanuzi.Hawapati dhambi popote. Na sio kosa kama Wana leseni kisheria.
Ndio maana uislamu ulikataza ribaNapambana kulipa, kama juzi nmewalipa million Moja. Lakini wamecalculate riba imenirudisha kwenye ileile million Tano kama sijalipa million.
Am confused nachomokaje. Dhamana ni Mali ya mtu mwingine.
Hii huchomoki Mzee.Napambana kulipa, kama juzi nmewalipa million Moja. Lakini wamecalculate riba imenirudisha kwenye ileile million Tano kama sijalipa million.
Am confused nachomokaje. Dhamana ni Mali ya mtu mwingine.
Dhuluma inatoka wapi? Riba ndio faida ya mkopeshaji. Yeye anatafuta hela kwa jasho lake,anakupa ufanyie mambo yake kwa makubaliano riba ni kiasi fulani hela irudi baada ya muda fulani isiporudi hatua atakazochukua ni hizi sasa dhukuma iko wapi? Ulitaka upewe hela bure tu?
Wachuuzi wananunua bidhaa tsh 10 wanauza tsh 20 hio nayo ni dhuluma? Dawa ya deni kulipa. Tatizo wanachukua mikopo na kufanyia mambo yasiyo na faida ikifika wakati wa kulipa wanakuja mitandaoni kujiliza. Mbona wakati anachukua hakuja kuuliza?
Dalili ya kuishiwa hoja ni matusi.Kuelewa kwako ni kidogo, umeandika kama mtoto wa la 2, paragraphs hakuna, komq hakuna, utazani unaandoka barua ya mapenzi? Fool