Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,364
- 1,078
Pesa maua kijana huchanua na kunyaukaDem unaye lakini hela hauna..
Naomba namba ya shemeji ili usiaibike
Sent using Jamii Forums mobile app
Tigo wapeWakuu luku imekata nyumba ya kupanga nadaiwa mchango wa umeme hapa.. Nikopesheni nisiaibike rafiki yenu Nina shemeji yenu humu geto nitawalipa ndani ya siku 3.. Njoo PM nikutumie namba ya halo pesa. Asanteni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu luku imeisha TV haiwaki joto kaliKwani kuwepo demu geto ndo kigezo cha kulipa umeme?
Nakupa 10,000/= halafu naondoka na shemeji, namrudisha baada ya siku 3.Wakuu luku imekata nyumba ya kupanga nadaiwa mchango wa umeme hapa.. Nikopesheni nisiaibike rafiki yenu Nina shemeji yenu humu geto nitawalipa ndani ya siku 3.. Njoo PM nikutumie namba ya halo pesa. Asanteni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningelipa ila sio kwa haraka hiviAsingekuwepo demu ina maana ungevumilia?
Hahaha acha utoto chiefNakupa 10,000/= halafu naondoka na shemeji, namrudisha baada ya siku 3.
Basa Branch mheshimiwa
Brach Sina vigezo mku simu ikishakopa niliinunua kwa mtuBasa Branch mheshimiwa
Maisha tu kaka kama nilisema hapo juu pesa hizi ni maua tuDuh pole mzee baba hapo leo lazima ukose game mana sio kwa udhaifu uliouonyesha
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijanaume vya Dar hivi,nunua umeme mkope demu fala ww mnashindwa wapi?akileta ungangari unamlipisha tu km nimetoa buku 10 ya umeme kwa ajili ya kipupwe feni tuliyonayo hapa,atafyonya we umesolve.
Hahha mkuu ungekiona cha moto hahhaVijanaume vya Dar hivi,nunua umeme mkope demu fala ww mnashindwa wapi?akileta ungangari unamlipisha tu km nimetoa buku 10 ya umeme kwa ajili ya kipupwe feni tuliyonayo hapa,atafyonya we umesolve.
Miaka yetu niliwahi lamba hela yote ya ada ya mchumba nikalipa kodi.
Sema nilirudisha mdogo mdogo babake mjeshi.