Nadaiwa mchango wa umeme na demu yupo geto Sina pesa nikopesheni buku kumi nitoe soo

Duuh nimependa huu mpangilio wako Wa matumizi,mumeo huko hapati shida kabisa.....
😁😁😁😁mimi sijibani kiasi hicho tho najua kutumia pesa kwa utaratibu maana najua zinapatikana kwa taabu.

.umimpa mleta Mada lakini?
 
Amsha popo
IMG_20190222_200117.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani una roho nzuri umeona anavyoangaika humo ndani Mara amdandanye wifi kuwa mtandao mbovu wa kununua luku😁

Asante kumfichia aibu maana hiyo 10000 inaenda kufanya yafuatayo:
1: buku 2000 atanunua umeme
2: buku 2000 atamnunulia chips yeye hatokula atazuga kashiba.
3: 500 soda, yeye atakunywa Maji yamo kwenye ndoo
4: buku 2000 atampa nauli ya dalalala
5: 800 wataikata kuitoa mpesa
6: 500 kununulia condom, kama atabana matumizi watajua mbele kwa mbele mimba ikitokea.
7: 2200 ilobaki ataibajeti chakula cha jioni dem akiondoka as follows,
a) unga nusu kilo 500
b) dagaa 500
c) mafuta 200
7: buku 1000 inayobaki nauli ya kesho kumpeleka kazini.

Asante kumeondolea aibu. Maisha haya!
Nimekupenda bure sio kwa analysis hii boss.
Hata ni kikuachia nyumbani 2000 kwa siku naamini hatutashinda njaa, happy women day
 
Jamani una roho nzuri umeona anavyoangaika humo ndani Mara amdandanye wifi kuwa mtandao mbovu wa kununua luku

Asante kumfichia aibu maana hiyo 10000 inaenda kufanya yafuatayo:
1: buku 2000 atanunua umeme
2: buku 2000 atamnunulia chips yeye hatokula atazuga kashiba.
3: 500 soda, yeye atakunywa Maji yamo kwenye ndoo
4: buku 2000 atampa nauli ya dalalala
5: 800 wataikata kuitoa mpesa
6: 500 kununulia condom, kama atabana matumizi watajua mbele kwa mbele mimba ikitokea.
7: 2200 ilobaki ataibajeti chakula cha jioni dem akiondoka as follows,
a) unga nusu kilo 500
b) dagaa 500
c) mafuta 200
7: buku 1000 inayobaki nauli ya kesho kumpeleka kazini.

Asante kumeondolea aibu. Maisha haya!
Alaaa kumbe! Nilikua nashangaa nyumba gani hyo ya kupanga wanachanga umeme wa 10k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejitafutia dhihaka na kejeli za bure...yaani unaomba hela JF tena kwa vitu unnecessary kama hivyo? Can you imagine, wanakuja watu hapa wanaomba msaada wa kifedha kwa sababu wake zao au watoto au yeye mwenyewe anaumwa/wanaumwa lakini wanaambulia patupu...leo hii iwe wewe? 😂😂😂Anyways najua hii post ni ya muda mrefu kidogo vipi ulifanikiwa(ga)??
 
Dah....mleta Uzi ajifunze kupanga list ya vitu vya mahitaji yake kwa "umuhimu"

Sent using Beretta ARX 160
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom