Nadaiwa mchango wa umeme na demu yupo geto Sina pesa nikopesheni buku kumi nitoe soo

Mkuu pesa ya shem ipo Sema iko very fixed haibaki hata chenji

Sent using Jamii Forums mobile app
Vijanaume vya Dar hivi,nunua umeme mkope demu fala ww mnashindwa wapi?akileta ungangari unamlipisha tu km nimetoa buku 10 ya umeme kwa ajili ya kipupwe feni tuliyonayo hapa,atafyonya we umesolve.
Miaka yetu niliwahi lamba hela yote ya ada ya mchumba nikalipa kodi.
Sema nilirudisha mdogo mdogo babake mjeshi.
 
Hahha mkuu ungekiona cha moto hahha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom