Nadaiwa bodi ya mikopo (HESLB) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nadaiwa bodi ya mikopo (HESLB)

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kassim Awadh, Sep 2, 2012.

 1. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nimemaliza chuo 2009, Bachelor. Nilipata 60%. Hadi sasa sijajitokeza kwenye malipo/makato. Nitegemee nini? Muda wa kuanza kulipa (grace period) tokea kumaliza chuo ni miaka ngapi?
   

  Attached Files:

 2. i

  ilonga JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 819
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  Mimi nilimaliza shahada mwaka 2010,mwaka uliofuata nikaajiriwa kwenye taasisi ya serikali,julai mwaka huu nimeanza kukatwa pesa kwenye mshahara ambayo ni 8% ya "basic salary" nikipigwa na penati 10% kwa sababu ya kuchelewa kuanza kulipa kwa mwaka mmoja.Grace period ni mwaka mmoja.

  Deni ni sh 6.248,400/- + 10%
   
 3. vena

  vena JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole za. Mwizi ni 40
   
 4. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Grace period watatoa kulipa silipi, unampa pesa nani hapo mafisadi?
   
 5. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Kwani wewe pesa ulipewa na nani? Angalia hili suala la mkopo ni la kisheria labda utaweza kuwakwepa kwepa kama huna mpango wa kuajiriwa nchini na au huna mpango wa kwenda kusoma nje ya nchi.

  Nina jamaa yangu alipata nafasi ya kusoma Ufaransa, alipokwenda kutafuta visa ubalozi wa Ufaransa akaambiwa apeleke document inayoonesha kuwa hadaiwi na loan board. Kwa hiyo elewa kuwa kila baada ya muda wanaexpand means za kuwabana loan beneficialies, na hivi vitambulisho vya uraia nazani hiyo na yenyewe itatumika kama njia ya kupata defaulters.
   
 6. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  For this case nadhani vema kuwalipa hela yao ukabaki huru! mambo mengine ya kufisidi hela zetu watayajua wenyewe
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Kwanza una takiwa ujue mkataba wako na bodi ulikuwa una semaje kuhusu mkopo wako na kurejesha.

  Kutorejesha mkopo ni sawa na mtu aliye kopa na akakimbia na pesa, pengine watu uita utapeli.

  Kwa hiyo ni makosa kisheria, utakapo anza kutafutwa utalipa na fidia kwa usumbufu.

  Ni vyema ukarejesha ili na wenzio wapate.
   
 8. k

  kamkoda JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Potelea mbali mie nadaiwa tokea 1996 sijalipa na hawatanipata! kodi walizokula zinawatosha nafikiri na wao pia wanaona aibu kufuatilia!
   
 9. FREDRICK IHEMBE

  FREDRICK IHEMBE Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mi ushauri wangu naona bora ufanye repayment ili na wadogo zako wa tanzania waweze kupata mkopo brother
   
Loading...