Jmani napenda kuuliza kwa wale walioomba kubadilishiwa course Na chuo nawakatumiwa ujumbe toka nacte kuwa wamefanikiwa kubadilisha chuo/course
Je ni taar wameshachaguliwa mojamoja kwenye chuo husika inatakiwa wasubiri joining instruction au kuna njia nyingine za kufuataa ??
Msaada wenu jamni kwa anaejua