- Thread starter
- #41
Hao ni jeuri kweli watafute wewe aisee ukisubiri wakutafute utasubiri mpaka mwakani hutapata joining instructionsnimechaguliwa certificate in clinical medicine njombe institute of health and allied science kwenye profile wamenandikia kwamba institute niliyochaguliwa itawasiliana na mimi kwa ajili ya confirmation sasa sijui wanapiga simu au watatumia email