Nacte wametoa selection.

Nacte wametoa selection.

duh sasa hii ndio mitoso yenyewe asee mpaka sasa naona tu status haibadiliki jamani,vipi kwenu ambao asubuhi zilikua bado,kuna mabadiliko!?.
 
vipi jamani status zenu kuna mabadiliko yoyote,maana kwangu bado kimya wakuu
 
Mliopata hingereni karibuni ulimwengu wa afya
 
Mkuu endelea kusubiri na kusali sana mana vyuo vya afya siyo mchezo kwa ushindani
 
jaman nimechaguliwa kujiunga na chuo naomba mnisaidie mawazo ili kupata uhakika wa mambo yafuatayo 1: ni jins gan nitafanya confirmation na mwisho wa tarehe ninayotakiwa kuwa nimesha confirm tayar 2 kwa m2 anae upgrade kutoka ngazi ya chet kwenda diploma anasoma miaka mitatu ama ni mwaka mmoja pekee? 3 nina vigezo vya kutosha diploma lakin nimechaguliwa certificate kwa chuo ambacho kina diploma ya kozi husika uwezekano wa kubadili upo?
 
Mkuu ata mdogo wangu ana sifa ila katupwa cheti badala ya diploma aisee nshukuru mungu kwa hilo pia bora ungeweka ata chuo umechaguliwa chuo gani na course gani watu wakusaidie kwani umeambiwa unconfim au?
 
nimechaguliwa certificate in clinical medicine njombe institute of health and allied science kwenye profile wamenandikia kwamba institute niliyochaguliwa itawasiliana na mimi kwa ajili ya confirmation sasa sijui wanapiga simu au watatumia email
 
Back
Top Bottom