Nacte verification awards imechelewa sana

chichi pilato

Senior Member
May 26, 2019
132
97
Wakuuu habarini! Naomba msaada wenu juzi niliomba Verification awards Nacte wakanitumia Email kuwa itatumwa but up to this moment sijaona kitu. Naimbeni msaaada nifanye nini?
 
Wanazingua sana wale jamaa

Kuna mshkaji wangu amekosa kuomba chuo mara hii kwasababu ya wao hawajamtumia AVN

NINACHOKUSHAURI WAFATE OFISINI KWAO
 
Back
Top Bottom