Kuchasoni Kuchawangu
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 623
- 378
- Thread starter
- #41
Nimekusoma mkuuHujaelewa?? Mm nimekuwekea kwamba kuna baadhi ya vyuo ada yao utofauti ni 200,000 it means govt 600000 prvt 800000
Nimekusoma mkuuHujaelewa?? Mm nimekuwekea kwamba kuna baadhi ya vyuo ada yao utofauti ni 200,000 it means govt 600000 prvt 800000
GudaSasa kama ni hivyo wakuu kwa nn tunalalamika vyuo vya serikali kujaa wakati kuna vyuo vya private vinatoza ada kuanzia laki sita hadi laki sita na hamsini kwa mfano. caprikon (arusha), mufindi (iringa) n.k na vingine vingi vya laki saba kwa nin tusichague hivyo maana mm mwenyewe nimetafuta vya serikali nimekosa lakin nimrjaza vya private vya laki sita sita.