mandojo
Member
- Jul 2, 2016
- 41
- 5
......taarifa za chini chini ndugu zangu,,, ni hivi,,,,ualimu kwa ngazi ya dip for primary school
imefutwa na baadala yake imelejeshwa certificate.............
mkuu hata mm niliskia nlipoenda chuo flan private mkuu was chuo akanambia vivyohvyo. na Leo pia nmeskia japo nacte hawajasema lolote, I think ndo maana kwenye tangazo lao LA tar 29july wamesema wanasubir mwongozo wa srkali!!""!