Jana wametoa tangazo wanachuo wote waliofanya mtihani mwezi Disemba warudi chuoni kuanza masomo tarehe 31 Januari 2022.
Cha ajabu hawajatoa matokeo hadi leo ijumaa tarehe 28 Januari.
Unaweza kujiuliza ni jinsi gani wanasahihisha mitihani ya darasa moja tu mwezi mzima na hawajamaliza.
Hivi ilitokea mtoto amefeli,kuna haja gani ya usumbufu wa kusafiri kwenda chuoni wakati mtu hajui matokeo?
Au ni njama zenu tukawalipie ada watoto kisha mtuambie wamefeli?
Kusema kweli mtendaji mkuu NACTE ameshindwa kazi.
Hapa nimesema machache tu lakini kuna uozo mwingi sana kwa watendaji wa NACTE.Wanafanya kazi kama ya bibi zao.