CBE campus ya Dar ,mnachofanya ni kinyume na lengo la mh.Rais John Joseph Magufuli

Abdul Nondo

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
515
2,875
*CBE CAMPUS YA DAR MNACHOFANYA NI KINYUME NA LENGO LA MH.RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFUL KWA WANAFUNZI*

Na
Abdul Nondo.

Taarifa hii ifikie wizara,viongozi wote na hata watanzania kujua kipi kinachoendelea kwa wanafunzi wa stashahada(diploma) Waliomaliza katika chuo cha CBE campus ya Dar.Ambapo nikinyume na utaratibu na ukeukaji wa haki kwa wanafunzi.

Ikumbukwe Mh.Rais John pombe Joseph Magufuli ,aliagiza udahili ufanyike kupitia vyuoni ili kutoa fursa kwa wanafunzi kuchagua chuo wanachohitaji kwa vigezo walivyonavyo.

Hii imekuwa tofauti kwani wanafunzi waliomaliza diploma (stashada)CBE campus ya Dar .Hawana hii haki ya kuchague chuo gani waombe .kwa sababu,

Mnakumbuka Baraza la elimu ya ufundi (NACTE) tarehe 28/6/2017,ilitangaza utaratibu mpya wa kudahiliwa kwa wanafunzi walio soma stashada(diploma).ili mwanafunzi aliyesoma stashada (diploma) aombe chuo ,chochote cha kusoma shahada (degree) wanatakiwa kuhakiki taarifa zao NACTE kupitia mfumo mpya uitwao *NACTE AWARD VERIFICATION SYSTEM*(NAVS)mfumo wa uhakiki wa Tuzo.

Baada ya kuhakiki ,mwanafunzi anapewa namba ya utambulisho *Award verification number* ,inaitwa AVN.ambayo mwanafunzi ndio huitumia namba hii kujaza anapokuwa anaomba CHUO chochote ili asome degree (shahada)kuna sehemu anatakiwa kujaza hiyo AVN anapoomba chuo chochote Tanzania ili asome degree.(shahada).

Lengo kubwa la kujaza AVN ni ili vyuo vidahili wanafunzi wanaostahili na waliothibitishwa na NACTE hivyo chuo kitapata taarifa za muombaji kupitia NACTE.

Tatizo hapa ni moja ,huwezi dahiliwa katika chuo chochote Tanzania ,kama mwanafunzi wa stashada (diploma)hana AVN(Award verification number)kutoka NACTE ili upate hiyo AVN kutoka NACTE *chuo cha mwanafunzi aliyemaliza stashada( DIPLOMA)Kinatakiwa kipeleke taarifa na matokeo ya wanafunzi wake NACTE*

Hapo ndio tatizo lipo ,hasa kwa *CBE campus ya dar*

CBE campus ya Dar ,hadi sasa naandika hivi haijapeleka taarifa za msingi na matokeo ya wanafunzi NACTE .wakati hadi kufikia mwezi wa 6 wanafunzi walikuwa tayari wamemaliza mitihani ,na NACTE ilikuwa tayari imekaa na wakuu wa vyuo wote mwezi huo wa 6,ila mwezi huo umepita ,na wa 7 umepita ,na wanane huu unaisha CBE campus ya dar ,haijapeleka taarifa na matokeo ya wanafunzi wake NACTE .jambo linalo nyima haki ya wanafunzi kuomba vyuo wavitakavyo wenyewe hadi sasa ikiwa mwisho wa kuomba vyuo ni tarehe 30,8,2017.CBE haijapeleka taarifa hizo NACTE.

ILA
CBE kuna wanafunzi wanaoomba degree (shahada pia ) 2017/2018 mbali na diploma, wanaruhusu wanafunzi kuomba pale degree hata bila AVN kutoka NACTE ,hivyo kinachoonekana CBE wanafanya hujuma kwa wanafunzi kwa kuwalazimisha waombe pale bila hata AVN tofauti na vyuo vingine ,na hawajapeleka taarifa za wanafunzi NACTE makusudi ili wanafunzi waombe tuu chuoni hapo sababu hakuna haja ya AVN ,hadi sasa wanafunzi baadhi hawajaomba vyuo,wengine wameomba chuo hapo hapo tuu.wengine wameomba vyuo vingine bila kujaza AVN na wamefika katika vyuo husika kuomba wadahiliwa hata bila kujaza AVN ,ila wamehakikishiwa Hawawezi dahiliwa bila kuingiza hiyo Award verification number (AVN)sababu hawana,sababu chuo hakijapeleka taarifa zao NACTE.

CBE ina nyima haki wanafunzi kuomba vyuo wanavyohitaji hivyo inafanya hujuma.kwa wanafunzi.

CBE imekeuka utaratibu kwa kudahili wanafunzi degree katika chuo chao campus ya dar.bila ya AVN, kutoka NACTE na ushahidi upo tayari wametoa hadi *joining instruction*

Wanafunzi wamelalamika na kuomba chuo kipeleke taarifa zao NACTE ila chuo kinadai kuna *technical problems* kwanini technical problem hiyo iwe CAMPUS ya dar ,kwanini campus zingine kama ya Mwanza wamepeleka taarifa za wanafunzi wao,kwanini hiyo technical problem iwe kipindi chote hadi karibia deadline ya kuomba vyuo 30/8/2017.bado siku kama 7 ,hamuoni kama mnanyima haki na kulazimisha wanafunzi kuomba katika chuo chenu?

Naomba mamlaka husika zisaidie tatizo hili hii ni hujuma ya hali ya juu,haiwezekani technical problem hadi sasa .

serikali kupitia *wizara ya elimu* iingilie kati juu ya suala hili hata kwa siku zilizobaki CBE campus ya dar ipeleke taarifa na matokeo ya wanafunzi wake wa stashada ili wapate AWARD VERIFICATION NUMBER (AVN) kutoka NACTE ili wapate fursa ya kuomba chuo chochote watakacho ,ili kufaidika na nia thabiti ya Mh.Rais MAGUFUL kila MTU aombe chuo apendacho.

Mimi nimerahisisha tuu mamlaka husika ,viongozi na jamii kujua tatizo linalowakumba wanafunzi hawa na hata kusikia sauti zao kupitia Mimi.na tumai hata kwa muda uliobaki serikali kupitia mamlaka husika watasaidia wanafunzi hawa kuomba chuo wakitakacho.

Abdul Nondo.
0659366125.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una hoja ya msingi lkn sidhani kama kuna any authority will act on that! Tafuta namba ya Ndalichako umpigie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom