Trichuris Trichura
Member
- Sep 26, 2014
- 82
- 22
Hapana kaka chuo utapata! Natoka nacte hivi ni kweli form zipo nyingi so wamezipanga kimafungu mafungu nadhani kwa kila chuo so zinafanyiwa kazi, kwa mujibu wa mdau pale kaniambia hadi j5 wote ambao hamjapata mchek profile. Ikifika alhamis hajabadilishiwa basi ujue umekosa so uende chuo cha mwanzo. Nilichoona pale ni kwamba kuna baadhi ya vyuo waombaji ni wengi sana so itategemea na nafasi. Ila kwakua fomu yako unasema ilikua na barua ya chuo basi kidogo inakua na uhai flani. Hope utapata.
nackia wale wote ambao profile zao hazijabadilika ni kwamba wamekosa uhamisho ivo inawapasa waende ktk vyuo vyao vya mwanzo. Cna uhakka ni TETESI WADAU wang.
Me profile yangu imesoma kuwa nimeamishwa kwenda CUHAS..ila nimenda hadi mwanza wananambia hawajapokea jina langu kutoka tcu.. sm stranded right here..and this is not fair!
Oya niandikie namba yako hapa nikupe mchongo tufanyeje!
Yangu 0753160152 kama vipi nishtue tuongee.
Print page ya profile yako inayoonesha umekuwa transferred to then ka waoneshe chuo Hiko kipya Ndio confirmation hiyo
Jamani hv nacte bado wanapokea maomba ya transifer?? Nijuzeni wana jf maana nipo bush sijui lolote na nahitaji kufanya transfer.jmni mm nimepata transfer juzi alhamisi na Jana ijumaa nimetoka kudeposit transfer fee nisubiri mda gani jina langu halijafika chuoni ndo nifuatilie???
majina waliyotoa saivi wameandika ndo final batch ndugu sasa sielewi
samah elimu yako umeishia wap