Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,811
- 623
Sijajua kama nacte wametoa majibu ya transfer ila tcu ndio wametoa,kwani nacte wametoa lini jamaa?
hata Mimi iko vile vile naona wanataka wasome wao wenyewe mwaka huu
wametoa majina ya transfer as 1st round, wanaendelea kuhamisha nadhani hadi J3 watatoa mengine. Utata ni kwamba majina yatafika chuo lini?mana wengine wamesha anza masomo.
hayo majina yanapatikana wapi Mpatanishi maana web yao ina matangazo active mawili tu
Unaangalia kwenye profile yako mkuu
Ngoja tu niende nilikopangwa awali maana naona disco halichezeki hili
Duuuuh hii ni ngumu kumeza kiongozi
nimeangalia leo asubuhi still iko vile vile na cha kushangaza mwanzo walini email kua niwasiliane na chuo ninachotaka kwenda wanipe barua then niwapelekee nikaenda bugando na niakapatiwa barua na nikajaza transfer form as well nikapeleka vyote kwa pamoja lakini hadi leo hata kwenye Fb page yao hawatoi updates tena cjui ndio imeshakula
Mungu asaidie tu