Shebbydo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 1,176
- 1,939
Nimesoma taarifa kwenye website ya NACTE nimeona kuna baadhi ya mambo hayana ukweli kama ifuatavyo:
1: NACTE wanasema kamati yao ya udahili imekaa kati ya July 18 na 21 ili kuchagua walio na sifa katika awamu ya kwanza. Mbona mtu wa mwisho kwenye kozi hii hapo kwenye picha aliyechaguliwa inaonesha ameapply tar 28 July.
2:Kama mwenye sifa kubwa ndiye anayedahiliwa, mbona huyu aliyeachwa hapo chini ndiye anaperformance nzuri zaidi kuliko huyo aliyechukuliwa? Na wote wameapply siku moja?
Kama ni system basi angalieni upya, kuna tatizo somewhere.