Naconfess

Ili ulete uzi kama huu nadhani inabidi kwanza uwe umejaa viroba kichwani.
 
ebu acha upumbavu tamaa za mwili ndo zinakusumbua huna lolote wew uhuni tu na inavyoonekana ni tabia yako hauwezi kumuheshimu mpz wako weee ungekuwa unamuheshimu usingetoka na huyo shemejioo ukikua utaacha
 
hakuna ugumu wowote. Na ndio yako iwe ndio na siyo vivyo hivyo!!!!!
 
Ni magumu kwa kuwa hakufikiria matokeo ya yale atakayoyafanya,ana mchumba wake anayempenda afu mdada kasema akimsemea kwa mtu wake atasingizia kumbaka hebu jaribu kuassume ndo wewe.
hakuna ugumu wowote. Na ndio yako iwe ndio na siyo vivyo hivyo!!!!!
 
huku jamani tumevamiwa na vitoto vya fb na u-turn.
hivi nyie watoto kwanini hamtembelee website zenu jamani, huku kwa wazee manatafuta nini.....!!!
moderator hebu chapa fimbo hawa watoto lol..!!
 
watu8 mi nipo uncle wazima unajua makao yangu ni chit chat huku mi mtazamaji
 
Last edited by a moderator:
MKUU kiukwel hata me nafsi yangu inanisuta NAJUTIA kiukwel kumuoa cwez me nina mchumba wangu na yy analitambua hlo lakn bado kaniganda

Endelea nae tu hakuna jinsi!
 
huku jamani tumevamiwa na vitoto vya fb na u-turn.
hivi nyie watoto kwanini hamtembelee website zenu jamani, huku kwa wazee manatafuta nini.....!!!
moderator hebu chapa fimbo hawa watoto lol..!!

Kwann hapa pameandikwa ni above 18.kutoa yaliyo MOYON ni utoto?think twice. mkuu nakuheshimu.hukulazmishwa kuchangia.
 
jikatae kwa huyo demu
rafikiyo akijua huoni kua
urafiki wenu waweza kufa?!!
Kisa demu na sio mke?

ndo kila nikijarbu kujikataa demu ananitishia kunisemea kuwa nimembaka.unadhan ungekuwa ww ungefanyaje?
 
ndo kila nikijarbu kujikataa demu ananitishia kunisemea kuwa nimembaka.unadhan ungekuwa ww ungefanyaje?

utambaka vp endapo akija kwako marufuku kuingia ndani?atasema
umembakia wapi?acha uoga wewe mtt wa kiume!!
 
kuna siri nimekaa nayo mda mrefu sana moyon sasa nahisi nashndwa kuvumilia.
Nina rafiki yangu wa kiume ambaye tulitokea kufamiana wakati nikiwa masomoni.

Kwa kuwa huyo ni rafiki yako wa kiume, we mpe tu hiyo kabaang!

Mwanaume huwa ana rafiki, hana rafiki wa kiume. Binti ndo huwa anarafiki wa kiume. pumbaafuuu!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…