hahaa ukiwa na gal kama huyo kazi sana,vipi wewe gal wako ana msimamo..
sishaurigi watu kama wewe hata kiswahili unatia swaga za kizee na ukicheza utagegedwa wewe na huyo rafikio pathetic
ahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa_dawa sio kutomwamini mkuu,...dawa siku ukihisi tu unaibiwa unammwaga chap_kabla hajaleta madhara ya madharau na presha.
hahahahahaha mkuu wengne tukipenda twapenda haswa hata ukiniambia mke wangu anatabia mbaya nitaona ni majungu tu tena ntaenda kumwambia fulani kaniambia unatabia mbaya chezea maku wewe
Are you for real?! Basically, what you are saying is "its not your fault, its all her fault" Anakuganda, alikutega, anajua una mchumba etc etc. As the saying goes "you two deserve each others". Nawasikitia sana hao wapenzi wenu!MKUU kiukwel hata me nafsi yangu inanisuta NAJUTIA kiukwel kumuoa cwez me nina mchumba wangu na yy analitambua hlo lakn bado kaniganda
aisee mkuu hayo ni mazoea tu hzo xxx hazihusiani na elimu yangu.au kuwa unajua kizungu unajiona umesomaaa?
Kuna uzi uliuanzisha unadai kuwa mpenzi wako amekuletea malalamiko kuwa lecturer anamtaka, na ukasem hujasoma elimu yako form four, sasa leo unasema mlipokuwa masomoni. Kumbe unatudanganya hata level ya elimu yako. Haya endelea kuvurunda