mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,362
- 6,480
Wana JF leo nakuja mbele yenu naomben ushauri wenu kuna siri nimekaa nayo mda mrefu sana moyon sasa nahisi nashndwa kuvumilia nimeamua kuitoa. nina rafiki yangu wa kiume ambaye tulitokea kufamiana wakati nikiwa masomoni.ananijali na kuniheshim kama ndugu yake wa damu,nikikwambia ni rafiki tu huwezi amini.tatizo ni kwamba huyu best friend wangu ana rafiki yake wa kike(mpenzi) mara nying huwa wanakuja kunitembelea nyumbani so imefka kpnd yule mchumba wa rafk yangu anakujaga peke yake kwangu akaanza tabia ya kunitega kwa vile nilikuwa namheshimu xana best wangu nikawa navumilia mitego ya yule msichana but ikafka kpnd nikashndwa uvumilivu nika DO naye s.e.x kuanzia hapo akaanza kumponda mshkaj maneno kbao ya dharau.Kuna cku ikibd nimwambie ukwel kuhusu 2navyomfanyia mshikaj kwamba co vzr xo nikwamwambia nataka nimwambie UKWEL BEST ANGU demu akanitishia kwamba nikimwambia basi ATASEMA KWAMBA NILIKUWA NAMBAKA KINGUVU.Nikajarbu kumwambia mm nina mchumba na nina malengo naye but shem kang'ang'ania.nifanyaje?
Una miaka mingapi? This is highly related to your age, just trust me. Ukikuaaaa, hutapata shida ya aina hii tena.
badilishaneni wachumba mwezi mmoja tu ili ujue umuhimu wa heshima kwa shemeji yako.
under 18
eti alikuwa ananitega!
Unajitambua kweli wewe?
Mbona haukuomba ushauri wa kuepuka ulikokuita kutegwa?
Sema tu ushamchoka dada wa watu mnafki mkubwa we!
Mazima.
mlitumia kondom?
Tabu ya kuingia kwenye mambo ya kikubwa mngali wadogo, subirini mkue kwanza.Wana JF leo nakuja mbele yenu naomben ushauri wenu kuna siri nimekaa nayo mda mrefu sana moyon sasa nahisi nashndwa kuvumilia nimeamua kuitoa. nina rafiki yangu wa kiume ambaye tulitokea kufamiana wakati nikiwa masomoni.ananijali na kuniheshim kama ndugu yake wa damu,nikikwambia ni rafiki tu huwezi amini.tatizo ni kwamba huyu best friend wangu ana rafiki yake wa kike(mpenzi) mara nying huwa wanakuja kunitembelea nyumbani so imefka kpnd yule mchumba wa rafk yangu anakujaga peke yake kwangu akaanza tabia ya kunitega kwa vile nilikuwa namheshimu xana best wangu nikawa navumilia mitego ya yule msichana but ikafka kpnd nikashndwa uvumilivu nika DO naye s.e.x kuanzia hapo akaanza kumponda mshkaj maneno kbao ya dharau.Kuna cku ikibd nimwambie ukwel kuhusu 2navyomfanyia mshikaj kwamba co vzr xo nikwamwambia nataka nimwambie UKWEL BEST ANGU demu akanitishia kwamba nikimwambia basi ATASEMA KWAMBA NILIKUWA NAMBAKA KINGUVU.Nikajarbu kumwambia mm nina mchumba na nina malengo naye but shem kang'ang'ania.nifanyaje?
daaah hapo pagumu aiseee kwa ufupi ni kwamba umelikoroga ndugu yangu ambapo sharti lake ni kulinywa,kwani usingetaka hayo yatokee ungejikata mapema au ungemwabia mwenzio visa vya mpenzi wake mapema ili ajue afanye nini na hayo yote yangekuwa ya kuwaziwa tu kwa sasa,ila sivyo yamekuwa real kwa kuwa hukuwa muwazi kaka kwa hiyo naomba nikupe pole na anza kujipanga kama ndo unamuoa bi dada au unaendelea kumwibia jamaa kisiri,kwani hata kumwambia jamaa kwa sasa haisaidii bado utaonekana msaliti tu atakuuliza ulikuwa wapi kuniambia sikuzote hizo ukaniulize leo????????pole sana binamutz una maamuzi magumu mbele yako.
alikuwa wapi siku zote kusema ANABAKWA ndio aje aseme LEO.............,
Sidhani kama kuna haja ya kumwambia best yako ili iweje,wala haiwezi
kumpunguzia maumivu kuwa ulimgegeda dem wake........
2kibadlishana heshma itatoka wap xaxa