Nachukia sana mwanamke ambaye umekaa naye mahali akiwa amefunika simu yake

Kwahisia kuu nakuona kiongozi ulivyovurugwa. POLE MKUU.
 
Reactions: _ID
Jamani Kuliko kuendelea kuficha simu yako wakati ukiwa na bae wako, kwanini usidate na huyo anaekufanya unaficha simu yako?!
Korona ipo, vaa barakoa nawa mikono kwa sabani na zaidi ya yote kaa mbali na mikusanyiko isiyo ya lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…