Nachukia sana kutongozwa hovyo hovyo

Mwanaume hufuata nini kwa mwanamke?

Unakuta mtu ana mke lkn haishi kutongoza kila mwanamke anayemuona.

Bila shaka wanaume wenye tabia za kutongoza kila mwanamke huwa wanaendeshwa na mapepo ya ngono.

Mnashangaza sana.
Usikute wewe ndo unaeshangaza, take care.
 
Mwanaume ni kama dume la nyuki. Kila sehemu yenye maua mazuri hutaka atue.
Usishangae.
Mtoto mzuri km monicca kweli usitongozwe? Hiyo haiwezekani
wakati mwingine nyny wanawake mnatuonea tu.
 
Mwanaume hufuata nini kwa mwanamke?

Unakuta mtu ana mke lkn haishi kutongoza kila mwanamke anayemuona.

Bila shaka wanaume wenye tabia za kutongoza kila mwanamke huwa wanaendeshwa na mapepo ya ngono.

Mnashangaza sana.
Ujue umekamilika kila idara ndio maana unatongozwa tongozwa
 
Hakuna mwanaume atakutongoza kama body language yako haionyeshi akikutongoza utampa. Kwa hiyo tafakari unajiwekaje mbele ya hao wanaokutongoza

Sent from my SM-J120H using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom