Nachukia sana kutongozwa hovyo hovyo

Nachukia sana kutongozwa hovyo hovyo

Hakuna mwanaume atakutongoza kama body language yako haionyeshi akikutongoza utampa. Kwa hiyo tafakari unajiwekaje mbele ya hao wanaokutongoza

Sent from my SM-J120H using JamiiForums mobile app
So what?
 
sasa kama avatar yenyewe ndio hivyo na mwenyewe je?..ua lako ukishaliweka wazi lazima nyuki watataka watue walau wafaidi kidogoo
 
Vaa hijabu au bulka usitongozwe

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume hufuata nini kwa mwanamke?

Unakuta mtu ana mke lkn haishi kutongoza kila mwanamke anayemuona.

Bila shaka wanaume wenye tabia za kutongoza kila mwanamke huwa wanaendeshwa na mapepo ya ngono.

Mnashangaza sana.
Unachukia unapotongozwa ww au wanapotongozwa wenzako unaona wivu tuweke sawa hapo
Vp je tangu umezaliwa n mwanaume mmoja tuu ndo amebahatika kuona utupu wako
Km si hvyo anza upya kuandika uzi

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ukiona wewe ni mke wa mtu na unatongozwa tongozwa basi jua kuna mushkeli katika mavazi unayovaa au jinsi we mwenyewe unavyojiweka weka. Ukiwa umeolewa alafu ukakaa kichangudoa changudoa kutwa kucha kupiga mizinga waume za watu, lazima utongozwe tu! So kutongozwa au kutokutongozwa ni maamuzi yako...
 
Kuna wenzio wanalilia kutongozwa! Shukuru Mungu dada angu ukiona hivyo unalipa au labda ni kitonga!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] kitonga

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Chunguza some of your habits. Zinaweza kuwa zinasend wrong messages kwa wakware. Mara nyingi strikers huwa wanatupa nyavu pale wanapoona viashiria flaniflani

sio kweli mkuu!mie nipo hapa kujua ni kwann!
 
Ukiona wewe ni mke wa mtu na unatongozwa tongozwa basi jua kuna mushkeli katika mavazi unayovaa au jinsi we mwenyewe unavyojiweka weka. Ukiwa umeolewa alafu ukakaa kichangudoa changudoa kutwa kucha kupiga mizinga waume za watu, lazima utongozwe tu! So kutongozwa au kutokutongozwa ni maamuzi yako...
Mbona umeongea mengi halafu hakuna hoja yoyote zaidi ya vijembe?
 
Mkitongozwa mnalalama na msipotongozwa mnalalama! Sijui nyie kina dada ni kipi hasa mnataka.

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 
Huenda ww n mzur sn. Unavutia vidume.

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom