gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 6,176
- 6,824
Ingekua vipi kama simba angekua kaumbwa kula nyama alafu asipewe uwezo wakuwinda.Ingekua vip swala nae kaumbwa kuliwa alafu asiwindwe.Ingekua vipi mwanaume kuumbwa kutamani mwanamke alafu asipewe uwezo wakutongoza.Ingekua ni sawa na binadamu kuumbiwa njaa alafu asipewe chakula.Dada yangu mwanamke kutongozwa ni haki na mwanaume kutongoza ni lazima pia.Ila wewe mtongozwaji ndo unatakiwa uwe na sifa za ni aina gani ya watongozaji wakutongoze.Kwaiyo kama unatongozwa tongozwa ovyo hadi na vibaka jua iko shida mahali maana siku zote NYUKI MZURI HUTUA KWENYE UA ZURI NA SAFI ILA UA CHAFU HUTUA NYUKI WENGI WACHAFU.