BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 959
Habari wakuu, hivi wasichana wenzangu mshaona hii , unamwandikia email, au sms, au barua ndeeefu mpenzi wako halafu yeye anajibu maneno mawili, matatu..... mie binafsi naona hii wanaoathirika zaidi ni wanawake, cause tunapenda sana kujielezea hisia zetu kwa mapana na marefu... unaweza mwambia mpenzi wako jinsi unavyompenda ukajielezea kurasa mbili yeye akakujibu mistari miwili tu, au na mimi pia...
hapo mnakuwa mmetuvunja nguvu sana, au umechukia kitu mko mnaongea utaongea masaa matatu yeye atakujibu nimekusikia nisamehe, hamuoni kwamba mnatakiwa mjielezee kidogo ingalau kumpa moyo mwenzio... inakukutaga hii embu niambieni wanaokutana na hali hii wanajisikiaje? mie huwa nakasirika mara mbili yake
Na wewe kumbe zako hizo eee...nimekusikia, ...am sorry....😛ray:
Na wewe kumbe zako hizo eee
Lily Flower kwa mfano unamwambia mpenzi wako kwenye sms mameno maziri pages hata tatu, anakujibu namimi pia swt au i love you too huoni hiyo imekaa vibaya? hakuna hata shairi beti moja mie huwa sielewi somoDada Blackberry mara nyingi hao wanaoongea sana ni waongo bora anaetamka maneno mawili lakini anamean alichosema, wanaume sio watu wa kuongea maneno mengi maongezi yao marefu huwa ni pale anapokutongoza akishatimiza malengo yake ndio basi u can hardly hear him talk.
Unaena sasa SexaMicca yani unakaa unatafuta maneno ya kumfurahisha, analeta za kuletaeti kuna mmoja huyo yeye unamtumia msg tamu
ukikosea ka neno.. yeye anakujibu kwa kusahihisha pale ulipokea halafu bac
mhhh shen*** zake
inakera sana
eti kuna mmoja huyo yeye unamtumia msg tamu
ukikosea ka neno.. yeye anakujibu kwa kusahihisha pale ulipokea halafu bac
mhhh shen*** zake
inakera sana
Lily Flower kwa mfano unamwambia mpenzi wako kwenye sms mameno maziri pages hata tatu, anakujibu namimi pia swt au i love you too huoni hiyo imekaa vibaya? hakuna hata shairi beti moja mie huwa sielewi somo
ha ha ha!...duuuhhh!...he he! hiyo sasa hila!
umenichekesha sana.
Lily Flower kwa mfano unamwambia mpenzi wako kwenye sms mameno maziri pages hata tatu, anakujibu namimi pia swt au i love you too huoni hiyo imekaa vibaya? hakuna hata shairi beti moja mie huwa sielewi somo
Basi ingawa uoneshe affection kwa kujielezea kidogo hata unapokosa sio bb im sorry ukiongea tena kanyamaza ina maana kamaliza ukizidi unastukia anaanza kukukiss then mna do kamaliza kesiHaahaaa Baby BB
Maneno hayana maana vitendo ndio vinaleta maana...
Najua wewe sio shabiki wa siasa lakini
Raisi wetu anaongea sana matendo ziro
Huoni anavyodharauliwa sasa hivi?
Mwanaume utamjua kwa Matendo sio maneno!
Sana kama lucas wa days of our lives na mwimbo wake ,,,.... your soo beautiful to meBB hahaha unapenda kuimbiwaa
nami pia!!