Nachoka sana baada ya tendo la ndoa

Nachoka sana baada ya tendo la ndoa

Bro angalia routine yako ya siku nzima kabla ya huo muda wa tendo.

Angalia pia namna unavyolitenda tendo lenyewe.

Inaweza pia kumaanisha una tatizo la moyo au wekundu damu (siyo maelezo ya kidaktari)

Pole kaka.
 
Bro acha punyeto kama unapiga pia fanya mazoezi kama push ups, na kukimbia iyo hali itaisha kabisa. Alafu kunywa maji yakutosha wengine wakushamaliza mchezo ndio wanakimbilia birika la maji. Ila kunywa maji mengi
 
Itakuwa lishe duni... Kama unashindia chips na soda, usiku sembe au ubwabwa, show ya maana utaiskia kwa wenzio mkuu
 
Kunywa maji 2 hasa za Lita moja na nusu. Anza kunywa asubuhi na mchana kutwa. Mwili unaupungufu wa maji. Jioni gonga. Pia usile chakula kizito na kingi. Digestion haijafanyika!! Sio unafanya mapenzi na ugali tumboni!!.
 
Mi mwanaume nikifanya mapenzi nachoka sana huwa nafanya bao moja hata saa nne usiku nikilala nastuka asubuhi na nakuwa bado na usingizi na nakuwa nimechoka siku nzima sijui sababu ni nini
Hilo jina lako linasadifu yaliyomo. Ni utamaduni wenu tu wala hauna tatizo lolote. Ndo mlivyo. Kuwa na amani
 
Itakuwa una ugonjwa wa moyo na bora ukapime moyo kabla hujafia juu ya mwenzio
 
Zingatia haya 1.umri wako 2.Kapime kisukari 3.Kapime pressure 4.je unavuta sigara? 5.Je unakunywa pombe?6.unafanya kazi ngumu? Kama yote yako sawa na una mke jaribuni kubadili mazingira mtoke mlale mrudi kesho yake.
 
Enjoy bro; kila kitu kina mwanzo na mwisho na mwisho ni mwanzo mpya....usilazimishe kaka ..you need to go beyond sex.enough is enough.
#Amoun
 
Back
Top Bottom