Nachoka sana baada ya tendo la ndoa

Nachoka sana baada ya tendo la ndoa

Mi mwanaume nikifanya mapenzi nachoka sana huwa nafanya bao moja hata saa nne usiku nikilala nastuka asubuhi na nakuwa bado na usingizi na nakuwa nimechoka siku nzima sijui sababu ni nini
Aisee wewe nambie mileage inasoma ngapi??
 
...kwani lazima kufanyaaa...ka jambo linakupa shida achana naloo...
 
Aaahh sasa kumbe Mchaga wa Rombo.

Ndomaana Wakenya wamewasaidia kuzalisha wake wenu.
 
1.Kunywa maji mengi
2.Check general heath issues kama
Weight
Colestral level
Blood Glucose level
BP
3.Fanya mazoezi
4.Usikamie tendo
5.Tumieni muda mrefu kuandaana kumbuka tendo la ndoa halianzi kitandani usiku
Kumbuka tena tendo la ndoa linahitaji matumizi mengi ya akili kuliko NGUVU
6.Wanaume huwa tunajisahau tunapokaribia kukojoa huwa tunauwacha mwili unakuwa unakakamaa saana.Nilikutanaga na mdada mmoja alikuwa mtu mzima mwerevu basi kila akiona naanza kukakamaa nakunja sura alikuwa ananikataza kwa kunibinya kiuno huku aki smile
Aisee yaani unakojoa huku umesmile ume relax. The huwa ananitania eti nikikunja sura na mtoto naye atatoka hivyo hivyo
7.Usisahau aphrodisiacs, hivi ni vyakula vinavyofanya tendo linakuwa kama unateleza. Siku moja usiku niko na mama Chanja nikajiona bao la 1 Mlima nikawa nauwona kama nashuka bonde au kupanda ngazi za ghorofa nikawa naziona nyepesi kama nashuka na bao la 2 hivyohivyo nikakumbuka asubuhi nilipita sehemu nikaagiza supu ya samaki na vitungu swaum vingii
8.Sehemu
Isiwe sehemu yenye mambo mengi, iwe ni sehemu yenye faragha hasa. Ukiwa ktk sehemu ambayo huku unashughulika huku una wasiwasi watu watapiga chabo au watoto wataingia chumbani au kuamka your brain inakuwa na multi tasks lazima uchoke.

9.Miili yenu na Style mnazo tumia kufanya tendo la ndoa nalo ni muhimu sana kujua
Kama mpenzi wako ni bonge nyanya si kila style mtafanyana itakuwacha wewe salama lazima muwe selective kulingana na miili yenu
 
Mi mwanaume nikifanya mapenzi nachoka sana huwa nafanya bao moja hata saa nne usiku nikilala nastuka asubuhi na nakuwa bado na usingizi na nakuwa nimechoka siku nzima sijui sababu ni nini
Fanya mazoezi sana hali hiyo itstoka
 
Mi mwanaume nikifanya mapenzi nachoka sana huwa nafanya bao moja hata saa nne usiku nikilala nastuka asubuhi na nakuwa bado na usingizi na nakuwa nimechoka siku nzima sijui sababu ni nini
Baada ya kuangalia jina lako naweza kukupa ushauri mmoja tu.. Acha pombe.
 
Nazani mwili wako umetumika sanaaa kwenye hayo majambo hivyo unaelekea mwisho wakuwa na ufanisi mzuri.
.
Si unajua benz ukiliendesha KM za kutosha thamani yake hushuka na hatimae kufa
Bado sio used bado hata km 10000
 
Back
Top Bottom