Nachoka baba yenu juu ya huyu workmate

Nachoka baba yenu juu ya huyu workmate

Ni vile niliacha kujihusisha na Mambo ya watu ila Kama si hivyo ningekushauri Jambo moja zuri Sana .
Anyway pambana mpaka useme ukweli kuwa umemzimikia ila unajifaragua faragua hapa kwenye jamvi la mjomba wangu pasina kulipa chochote
 
Habari zenu wana JamiiForums,

Nimekuwa nikifanya kazi sehemu moja na msichana mmoja kwa miezi 3 sasa, hatufanyi majukumu sawa na Wala hakuna namna tunategemeana, lakini tangu siku ya kwanza tulipokutana, hajawahi kunisalimia yaan Ile "good morning" , "shikamoo" or whatever. Hata nikianza kumsalimia mimi sina hakika kama aliwahi kuitikia...maana Huwa simsikii...kiufupi hatujawahi kuongea hata kwa sekunde 2...ni ananikwepa vibaya mno.

Yaan yuko radhi ahame sehemu aliyokuwa amekaa akiniona nimesogea hapo na anapenda kama kunichunguza hivi ninapokuwa napiga stori na wengine huwa ni kama ananitazama kwa umakini sana akiwa mbali kidogo.

Kinachonishangaza zaidi wenzangu wengine anazungumza nao vizuri sana, anacheka, anasalimia, anashiriki mazungumzo. Demu mwenyewe Sasa hana maajabu...mfupi, nyama Hana yaan balaa tupu...anisamehe kwa majungu kidogo.

Ndugu zangu wataalam wa saikolojia naomba mnisaidie kuingia kwenye ubongo wa huyu dada mnifunulie kilichomo maana babq yenu ninachoka, ninachoka sana.
Natanguliza shukrani!..
Nyie ndo mnafanya taifa lichelewe kuendelea. Umeenda kufanya kazi au kupiga story na pisi!?
 
Ni vile niliacha kujihusisha na Mambo ya watu ila Kama si hivyo ningekushauri Jambo moja zuri Sana .
Anyway pambana mpaka useme ukweli kuwa umemzimikia ila unajifaragua faragua hapa kwenye jamvi la mjomba wangu pasina kulipa chochote
Aisee na wewe pambana mpka uache kujihusisha kabisa na mambo ya watu...maana hata kushauri hauwezi.
 
Kaka usinijibu hivyo uwa sikawaii kumroga Mtu ,shauri zako
Endelea kunichokoza ,Mimi Niko zangu bize na maumivu ya nchi yangu alafu wewe unamleta utani ,haya wewe nitafute ukianza kuachwa na kufukuzwa kazi usije kulialia hapa maana uchokozi ulianzisha wewe .
Ila una masaa mawili kuniomba msamaha kabla sijafunga chumba Cha msamaha moyoni mwangu.
 
Samahani sana kaka, sikujua kama wewe mrozi😆...nisamehe mimi
 
Habari zenu wana JamiiForums,

Nimekuwa nikifanya kazi sehemu moja na msichana mmoja kwa miezi 3 sasa, hatufanyi majukumu sawa na Wala hakuna namna tunategemeana, lakini tangu siku ya kwanza tulipokutana, hajawahi kunisalimia yaan Ile "good morning" , "shikamoo" or whatever. Hata nikianza kumsalimia mimi sina hakika kama aliwahi kuitikia...maana Huwa simsikii...kiufupi hatujawahi kuongea hata kwa sekunde 2...ni ananikwepa vibaya mno.

Yaan yuko radhi ahame sehemu aliyokuwa amekaa akiniona nimesogea hapo na anapenda kama kunichunguza hivi ninapokuwa napiga stori na wengine huwa ni kama ananitazama kwa umakini sana akiwa mbali kidogo.

Kinachonishangaza zaidi wenzangu wengine anazungumza nao vizuri sana, anacheka, anasalimia, anashiriki mazungumzo. Demu mwenyewe Sasa hana maajabu...mfupi, nyama Hana yaan balaa tupu...anisamehe kwa majungu kidogo.

Ndugu zangu wataalam wa saikolojia naomba mnisaidie kuingia kwenye ubongo wa huyu dada mnifunulie kilichomo maana babq yenu ninachoka, ninachoka sana.
Natanguliza shukrani!..
Wewe ubamtaka ila yeye anakuona kama unanuka.

Otherwise kwa nini hata unamuongelea hapa she is kiving rent free in your head?

Si umpotezee tu?

Uko kazini kufanya kazi au kutafuta wanawake?
 
Sawa ni kufanya kazi mkuu...lakini ndio tusijali utu...tunawezaje kusonga mbele bila utu?😊
 
Back
Top Bottom