Nachoka baba yenu juu ya huyu workmate

Nachoka baba yenu juu ya huyu workmate

Aen Urner

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
380
Reaction score
376
Habari zenu wana JamiiForums,

Nimekuwa nikifanya kazi sehemu moja na msichana mmoja kwa miezi 3 sasa, hatufanyi majukumu sawa na Wala hakuna namna tunategemeana, lakini tangu siku ya kwanza tulipokutana, hajawahi kunisalimia yaan Ile "good morning" , "shikamoo" or whatever. Hata nikianza kumsalimia mimi sina hakika kama aliwahi kuitikia...maana Huwa simsikii...kiufupi hatujawahi kuongea hata kwa sekunde 2...ni ananikwepa vibaya mno.

Yaan yuko radhi ahame sehemu aliyokuwa amekaa akiniona nimesogea hapo na anapenda kama kunichunguza hivi ninapokuwa napiga stori na wengine huwa ni kama ananitazama kwa umakini sana akiwa mbali kidogo.

Kinachonishangaza zaidi wenzangu wengine anazungumza nao vizuri sana, anacheka, anasalimia, anashiriki mazungumzo. Demu mwenyewe Sasa hana maajabu...mfupi, nyama Hana yaan balaa tupu...anisamehe kwa majungu kidogo.

Ndugu zangu wataalam wa saikolojia naomba mnisaidie kuingia kwenye ubongo wa huyu dada mnifunulie kilichomo maana babq yenu ninachoka, ninachoka sana.
Natanguliza shukrani!..
 
Bado sijafikiria kumtaka labda baadae huko ikinibidi...ni hiyo tabia yake tu inanitesa cause bado mgeni hapo nastruggle to connect. cocastic
 
Mashtaka yako peleka kwa clemence mwandambo😁😁😂😂..
Unamuita demu wakati yeye anakuona kama husband wake.vunja ukimya muite uongee naye
Mkuu huyo demu simuelewi kabsa, sio kama hivyo...leo kapewa chakula aniletee kafika ame-drop off sahani ya msosi mezani kwangu nilipokuwa nmekaa bila "a" wala "e"...akapotea shwaaa
 
Bado sijafikiria kumtaka labda baadae huko ikinibidi...ni hiyo tabia yake tu inanitesa cause bado mgeni hapo nastruggle to connect. cocastic
Una struggle ku connect nn? Ikiwa huna uhitaji nae? Si umpotezee tyuuh.

Wee em kuwa mkweli, unamtaka huyo msichana, sasa chelewa wakuwahi wenzio uanze kulalama wanawake hawaeleweki, kumbe wee ndo mcharoo.
😂😂😂😂
 
Huyu yeye ndo anateseka na huyo demu, ukute mwenzie hana hata time naye ni yeye na mawazo yake ya kicenge 😹😹
 
Habari zenu wana JamiiForums,

Nimekuwa nikifanya kazi sehemu moja na msichana mmoja kwa miezi 3 sasa, hatufanyi majukumu sawa na Wala hakuna namna tunategemeana, lakini tangu siku ya kwanza tulipokutana, hajawahi kunisalimia yaan Ile "good morning" , "shikamoo" or whatever. Hata nikianza kumsalimia mimi sina hakika kama aliwahi kuitikia...maana Huwa simsikii...kiufupi hatujawahi kuongea hata kwa sekunde 2...ni ananikwepa vibaya mno.

Yaan yuko radhi ahame sehemu aliyokuwa amekaa akiniona nimesogea hapo na anapenda kama kunichunguza hivi ninapokuwa napiga stori na wengine huwa ni kama ananitazama kwa umakini sana akiwa mbali kidogo.

Kinachonishangaza zaidi wenzangu wengine anazungumza nao vizuri sana, anacheka, anasalimia, anashiriki mazungumzo. Demu mwenyewe Sasa hana maajabu...mfupi, nyama Hana yaan balaa tupu...anisamehe kwa majungu kidogo.

Ndugu zangu wataalam wa saikolojia naomba mnisaidie kuingia kwenye ubongo wa huyu dada mnifunulie kilichomo maana babq yenu ninachoka, ninachoka sana.
Natanguliza shukrani!..
ANAKUPENDA😀😀

Mkuu nakumbuka nikiwa chuo kuna dem flani alikuwa mweupe peee yaani yeye akiniona tu hata kama alikuwa na boyfirend wake alikuwa ananitaza muda wote ninaokuwa hapo..........

Na pia alikuwa ananikwepa kinoma yaani watu wengine wooote anaongea nao ila kuongea na mimi sasa🙌 ni kashshe

Unaweza kuta mara aniparamie mgongoni makusudi halafu anapotea shwaaaa🤣🤣🤣
 
Una struggle ku connect nn? Ikiwa huna uhitaji nae? Si umpotezee tyuuh.

Wee em kuwa mkweli, unamtaka huyo msichana, sasa chelewa wakuwahi wenzio uanze kulalama wanawake hawaeleweki, kumbe wee ndo mcharoo.
😂😂😂😂
Kwa kweli hamueleweki 😆😆😆 maana sample ya safari hii haikuwahi kuwepo kwenye database yangu kabsa
 
Em tuma pic yako tukuone kwanza maana umemuelezea mwenzio kwa kashfa sana.
Maybe naye anakuona wa tofauti (Kituko) ndiomana anakukwepa..!!
Dark+tall+intelligent 🧠...labda kadata hapo...maana nyie mambo yenu mnayajua wenyewe😆
 
ANAKUPENDA😀😀

Mkuu nakumbuka nikiwa chuo kuna dem flani alikuwa mweupe peee yaani yeye akiniona tu hata kama alikuwa na boyfirend wake alikuwa ananitaza muda wote ninaokuwa hapo..........

Na pia alikuwa ananikwepa kinoma yaani watu wengine wooote anaongea nao ila kuongea na mimi sasa🙌 ni kashshe

Unaweza kuta mara aniparamie mgongoni makusudi halafu anapotea shwaaaa🤣🤣🤣
Bora huyo wa kwako mkuu...anawasha indicator😆
 
Back
Top Bottom