Nabii wa Zimbabwe nae anena:;A powerful woman on the throne

Nabii wa Zimbabwe nae anena:;A powerful woman on the throne

Msoga ni kama kirusi, mpaka kwenye ramli anaonekana🤣🤣🤣🤣
ameonekana asiee, hadi kwa watu ambao mimi huwa siwaamini wameibuka kuongea. "nia" that place, mazuzu hayajang'amua tu anachopambana kuficha. tanza"nia". kumbe mama wa watu amezungukwa na watu wenye nguvu hadi maamuzi ya kuteka na kuua watu hayakuwa yake, kila kitu anapelekeshwa tu. hivi inakuwaje na sisi tunatawaliwa na mwanamke aisee, yaani mwanamke apake wanja aje atutawale? dah.
 
Huyu pastor anasema tusali ili busara ipatikane, ninadhani itakua rahisi kushinda bahati nasibu kuliko kupata hii busara.
kwa kweli mimi muda wa kupiga magoti nimwombee kizimkazi sina. sina muda wa kupoteza ivyo, labda niwaombee familia zilizopoteza watoto wao kwa kutekwa na kuuawa.
 

kuna watu wanajua kweli ni nini, haki ni nini ila ni waoga kuhubiri haki na kweli. mwamposa na askofu wake wameamua kumfurahisha mwanadamu wakati wakijua kabisa kuna watu wanapotea na kuuawa, na hadi makanisa yanafutwa, na kwenye kusanyiko lao hilohilo kiongozi wetu sisi sote amesema waumini wa gwajima wanaabudu ushetani, pengine ndio maana amewafungia. ninyi waoga wote msiotetea haki, jueni ni dhambi. Mungu amewapa sauti na nafasi mlizo nazo mbele za watu ili mtetee haki na wasio na nafasi zenu za kusema. kuna familia nyingi zinaugua mioyo watoto wao wamepotea wameokotwa wameteka n.k ila hawana wa kuwasemea, Mungu amewapa ninyi nafasi ila mmeamua kuside na wadhalimu. mtakunywa kikombe kilekile cha mvinyo ya hasira ya Mungu.

UFUNUO 21:8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
 
Back
Top Bottom