Nabii Tito sharti achunguzwe

Nabii Tito sharti achunguzwe

Kwahiyo unataka kusema kuwa kucheza taarabu ni ushoga au kuvaa hereni ni ushoga??, kwaio wamasai na wapemba unataka kisema ni wa nani vilee!!?

Mkuu tafakari kidogo basi, au una hasira nini??
 
Kina Kakobe kwa kweli wana big influence kwa vijana wa kibongo fleva hapa nchini....yaani hata haka kaTitto kamekuwa kaigizaji siku hizi? Kazi tunayo jamani.
 
Back
Top Bottom