donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
I second you....yani kisa una label ya dini ndiyo uishi maisha yako yote kama mfungwa?? usile bata>?? walokole acheni hizoSijaona tatizo...
Na kuna wakati pasipo na tatizo wewe ukaona kuna tatizo, basi ujuwe wewe ndo tatizo lenyewe. Jambo lolote lenye utata ni tatizo kwa anayepata utata tu..!!....muda mwingine kwenye tatizo usipoona tatizo jua una tatizo. Jambo lolote lenye utata ni tatizo.
Karibu sana upate maombezi..uondekane na roho wachafu na umasikini wa akili na kimwili.Kuna watu wanaenda kanisani kwake na wanaombewa..
Pale unaposhindwa kutambua kuwa ha/kuna tatizo, ujue wewe ndio mwenye tatizoNa kuna wakati pasipo na tatizo wewe ukaona kuna tatizo, basi ujuwe wewe ndo tatizo lenyewe. Jambo lolote lenye utata ni tatizo kwa anayepata utata tu..!!
😅ndio maana awamu ya tano ilisisitiza tutumie kiswahili kuepusha hayaNabii ametuchota aseeeee
My daughter and I
Naomba nielekeze amekosea wapi mkuu maana ngeli tatizoNabii ametuchota aseeeee
My daughter and I
we are so Spiritual regardless 🤭🤭"i and my daughter"