Nabii 'mtoto' Daniel Daniel Shilla aliyetikisa Dar kwa mkwanja afutiwa usajili wa kanisa

Alikuwa chini ya mwamvuli wa kanisa lingine lililosajiliwa 2008,hapo ni kwamba huduma yake inajulikana ipo chini ya kanisa la mwanzo huku yeye akisubiria usajili wake
kama lilisajiliwa mwaka 2008 na yeye ana miaka 22 sasa, inamaana mtu mwenye miaka 12 aliruhusiwa kusajili na kuendesha kanisa kikatiba na kisheria?
Huo ni mwaka wa usajili wa kanisa si lazima yeye kuwa alikuwa kiongozi ...makanisani viongozi wengi wanapita

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
mbona gwajima hawakumfutia usajili waache kumuonea dogo
Wana take machance kwa dogo janja kisa anapiga hela wamvae ka mkubwa gwajizo foshizo waone mziki wake.. hawana lolote na huu itakuwa ni mchongo tu wanamleatea ing'oo dogo janja!
 
Huyu jamaa mimi naona ,serikali walichelewa kumfungia ,yaani alikuwa anaichezea imani ya kikristo.Mavazi,muonekano wake,mikogo unaweza sema ni Mbongo fleva anaenda kutambulisha nyimbo.Tatizo iman ya Kikristo inachezewaa sababu tu tuliambiwa "Tusihukumu",lkn hawa wanaharibu iman ya kikristo kwa kuuweka usasa na swaga.Maswala ya kiimani yanatakiwa kuwa kama yalivyoandikwa hamna kuongeza kitu wala kupunguza.Sometime waislam nawaona wapo serious na iman yao ukizingua tu wazee hawakucheleweshi unachezea mikwaju hapo hapo, upuuzi wako ukaufanyie kwengine lkn si katika imani yao.

Ukristo na Bongofleva hakuna tofauti. Wote wanacheza na kukata mauno majukwaani.
Dini ya kweli ni Uislamu! Hawana upuuzi
 
Huyu jamaa mimi naona ,serikali walichelewa kumfungia ,yaani alikuwa anaichezea imani ya kikristo.Mavazi,muonekano wake,mikogo unaweza sema ni Mbongo fleva anaenda kutambulisha nyimbo.Tatizo iman ya Kikristo inachezewaa sababu tu tuliambiwa "Tusihukumu",lkn hawa wanaharibu iman ya kikristo kwa kuuweka usasa na swaga.Maswala ya kiimani yanatakiwa kuwa kama yalivyoandikwa hamna kuongeza kitu wala kupunguza.Sometime waislam nawaona wapo serious na iman yao ukizingua tu wazee hawakucheleweshi unachezea mikwaju hapo hapo, upuuzi wako ukaufanyie kwengine lkn si katika imani yao.
Umeusema ukweli kama ulivyo mkuu
 
Back
Top Bottom