Nabii 'mtoto' Daniel Daniel Shilla aliyetikisa Dar kwa mkwanja afutiwa usajili wa kanisa

Ni wapi ulipoelezwa kuwa Ukristu ni kuvaa magunia?!
Kwa hiyo ukristu ni kuvaa,vibukta,vimodel,kutembea na baunsa ndio unamaanisha hivyo na kama ndio hivyo basi kanisani niruksa kuvaa mlegezo,vimini hata nguo za kuogelea,kwa sababu kwenye biblia hawajaandika.Yaani hiyo akili na utashi aliokupa mungu unashindwa kutambua uvae nguo gani na mahala gani.
 
Kanisa la Bethel Ministry lenye namba ya usajili 14783, lilisajiliwa Aprili 19, 2008 chini ya mwavuli wa Kanisa la The Great Revival Mission Christianity Church.
Kwahiyo kanisa lilisajiliwa yeye akiwa na miaka 12 na sasa yeye ndiye mchungaji mkuu ok amefikisha umri ea kupiga kura kweli?
 
kama lilisajiliwa mwaka 2008 na yeye ana miaka 22 sasa, inamaana mtu mwenye miaka 12 aliruhusiwa kusajili na kuendesha kanisa kikatiba na kisheria?
 
kama lilisajiliwa mwaka 2008 na yeye ana miaka 22 sasa, inamaana mtu mwenye miaka 12 aliruhusiwa kusajili na kuendesha kanisa kikatiba na kisheria?
Huo ni mwaka wa usajili wa kanisa si lazima yeye kuwa alikuwa kiongozi ...makanisani viongozi wengi wanapita
 
Hakika nimeamini wanadamu hatufanani akili tupo tofauti sana, Mtu kama huyu na wewe unatoka kwako unaenda kuabudu na anakuongoza? Mungu anisamehe huu ni upuuzi
Bora huyo anayejionesha kuliko mapadri, wachungaji, maaskofu na masheikh wanaojifunika na makanzu marefu huku wamejaa roho za chuki, visasi, fitina, uzinzi na ulevi.
 
Mbona Yuko kama mpigaji na inaelekea kawalamba sana mabint waumini

Ova
 
Huyu jamaa mimi naona ,serikali walichelewa kumfungia ,yaani alikuwa anaichezea imani ya kikristo.Mavazi,muonekano wake,mikogo unaweza sema ni Mbongo fleva anaenda kutambulisha nyimbo.Tatizo iman ya Kikristo inachezewaa sababu tu tuliambiwa "Tusihukumu",lkn hawa wanaharibu iman ya kikristo kwa kuuweka usasa na swaga.Maswala ya kiimani yanatakiwa kuwa kama yalivyoandikwa hamna kuongeza kitu wala kupunguza.Sometime waislam nawaona wapo serious na iman yao ukizingua tu wazee hawakucheleweshi unachezea mikwaju hapo hapo, upuuzi wako ukaufanyie kwengine lkn si katika imani yao.
Uko vzr sn,nimekuelewa sn.pongezi kwako.
 
Asanten Serikal kwa kumfungia Huyu alkuwa anachezea Sana ukristo nabii Kama Hawa n kuwafungia tu
 
Back
Top Bottom