Uchaguzi 2020 Nabii Mkuu Geo Davie: Mchagueni Magufuli, acheni ushabiki

Ha ha haaa ..
Hivi humu JF hakuna mrembo ambae anaweza kunitengenezea hiyo juice maalum kama aliyokuwa anapewa nabii Geo?
 
Nabii wa hao wanaomsikiliza tumemwona Nabii Tito atakuwa huyo aende zake Watanzania sio Wapumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hapo hachanganyi siasa na dini?
 
Mungu ampe maisha marefu nabii wa ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Askofu huyu yuko vizuri sip hao kinashoo

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mchumia tumbo anatufundisha mtu wa kumchagua? Tapeli linalowaibia waumini wake. Kama si mwanasiasa anahangaika nini na Magufuli? Anampigia debe kwa nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…