Jesuit,
Mbona umeng'ang'ana na kumchafua Nabii na Mtume?!.
Mke anayetembea nje, maana yake ni mke mgawaji, hivyo hana limit kuwa aligawa kwa nabii peke yake!.
Kama ni kweli alipata STD na kumletea mumewe, huo ni uthibitisho amekuwa akifanya unprotected love, namshauri huyo wakili asidhanie mama ndio alianza jana!, tena asithubutu kabisa kuwapima DNA hao watoto wao!. Kutembea nje mazoea ambayo hugeuka tabia na hatimaye kuwa desturi!.
Kama hiyo ni tabia, hata kama mahusiano ya nje yanayofahamika ndio hayo ya huyo Mtume na Nabii, hiyo sio guarantee kuwa ndio aliyemuambukiza!. Kuna kuanzia house boy nyumbani, shamba boy, mlinzi, dereva, fundi bomba, fundi umeme, na whoever mwenye legal access nyumbani kwa sababu shughuli ilikuwa ikifanyikia nyumbani!.
Japo lengo lako ni kumdhalilisha Nabii na Mtume, anaeishia kuaibika na mwanamke akiduatiwa na mumewe!.
Please stop this!.