Mwaana wa Adam
Member
- Nov 13, 2013
- 63
- 5
Ni vema sana kuwa makini kutoa kauli juu ya watumishi wa Mungu. They are God's representatives in this world!Ni askofu wa mwingira aliyeolewa lakini ni baada ya kuonjwa na mwingira mwenyewe.
Ni vema sana kuwa makini kutoa kauli juu ya watumishi wa Mungu. They are God's representatives in this world!Ni askofu wa mwingira aliyeolewa lakini ni baada ya kuonjwa na mwingira mwenyewe.
Absolutely. Uwekezaji katika dini!.Umepotosha, gazeti halijasema Mwingira ameolewa bali ASKOFU WA MWINGIRA AMEOLEWA.
Hiyo ndiyo tunaita Ujasiria DINI
Ameolewa??
Ni askofu wa mwingira aliyeolewa lakini ni baada ya kuonjwa na mwingira mwenyewe.
Wana JF,
Chanzo gazeti la NYAKATI Jumapili.
Hongera Askofu.