Nabii Flora Peter wa Mbezi Beach...

Huyu mama bila shaka ni PEPO MCHAFU nilipoona picha yake nilishtuka kama nimeona kitu cha kutisha kweli WAJINGA NDIO WALIWAO sio kwa kujichubua huko, alafu naona ametupia sijui nini yenye nembo ya adidas hahahaha TUWE MAKINI SANA NYAKATI HIZI ZA MWISHO
 

Bora Wewe Umewaambia UKWELI Labda Watakuelewa Kwani Inaonekana Wenye PEPO Humu Ni Wengi. Nisalimie Sana Dada Yangu Mpendwa Pastor Julie, Mama Lelwa, Mzee Komba Na Mdogo Wangu Danny Na Nifikishieni Salamu Zangu Nyingi Kwa Mama Yangu Mpendwa Wa Kiroho Nabii Flora Peter Mwambieni Mwanae Kipenzi " P " Nampenda Mno Na Akhsante Kwa Maombi Yake Kwangu Na Mwenyezi Mungu Ambariki Sana Azidi Kuwasaidia Wengine Kwa Maombi.
 

hahaha, "P" for P.....?
 

kweli kabisa hata mimi nimesaidiwa mambo yangu kupitia mkono wa huyu dada
 
Hata kabla ya hii comment yako nilishapinga kwa nguvu zote kuwa huyu sio nabii, yoyote ambaye hakubaliani nami aje asome hii comment yako, Nilisema kwa uwazi kabisa anatumikia ufalme wa giza

Kama Kweli Mungu Wa Nabii Flora Ambaye Kanifanya Leo Mambo Yangu Yako Njema Hivi Ni Shetani Basi Naomba Nizidi Kumuabudu Huyo Shetani. Ila Nijuavyo Mungu Wa Nabii Flora Ni Mungu Wa Ibrahim, Isaka Na Yakobo Na Ndiyo Maana Kila Alifanyalo Kwanza Na Mara Nyingi Hutaja Jina La Yesu Kristo Wa Nazareth. Tena Labda Niwasaidieni Tu Nyie MALOFA Kuwa Nyie Siyo Wa Kwanza Kuanza Kumsema Nabii Flora Kwani Ameshasemwa Mno Huko Nyuma Lakini Cha Kushangaza Watu Wanamsema Nabii Flora Halafu KANISA Lake Ndiyo Kwanza LINAJAZA NYOMI Ya UHAKIKA MPAKA POMONI Kama Za Magufuli Na Lowassa. Nina Uhakika Kuwa Hata Wewe Mleta Huu UZI Ni Mmoja Wa Wale Maadui Zake KIROHO Nabii Flora Peter Na Bahati Nzuri MNAJULIKANA Ambao Kutwa Mnatafuta Jinsi Ya Kummaliza. Na Labda Niwaambieni Tu Kuwa Hao Wagombea Wenu Urais Tena Wote Wa CCM Na Wa UKAWA Ni Waumini Wazuri Tu Wa Nabii Flora Kwa NYAKATI Tofauti Bila Kusahau Rais Kikwete Na Mama Salma. Nabii Flora Angekuwa Mbabaishaji Watu Wenye AKILI Zao Wangetoka Sehemu Mbalimbali Za Nchi Kuja Kupata HUDUMA Ya KIROHO Nchini Tanzania? Na Dada Wa Watu Hata Habagui Dini Kwani Kanisa Lake Ni La Kutoa Huduma Ya Kiroho Kwa Watu Wote Bila Kujali Kabila, Dini na Itikadi Na Kwa Uzoefu Wangu Pale Asilimia Kubwa Ya Watu Wanaofanikiwa Ni WAISLAMU. Na Kuna Mtu Ameuliza Kuwa Kwanini PALE Kanisani Wanawake Ndiyo Wengi Halafu Kwa Mshangao Mkubwa Nikaona Wapuuzi Wengine Wamempa " LIKE " Nikagundua Kuwa Wengi Wetu Ni WAUMINI JINA Na Siyo WAUMINI MAARIFA. Tokea UUMBAJI Na Ule Ujio Wa Dhambi Ya ASILI Ambayo Mwanamke ALIHADAIWA Na Nyoka Mwenyezi Mungu ALIAMUA KUMPA ADHABU MBAYA Mno MWANAMKE Ya KIMATESO Na Ya KUBEBA Karibia Dhambi Zote Za Kibinadamu Na Kumpa MACHUNGU Makubwa. Mama Zetu Wana MIZIGO MIKUBWA Ya MATESO Na KIMBILIO Lao Ni Kwa Yesu Kristo Tu Bwana MWOKOZI Ambaye Na Yeye Pia Ni RAFIKI MKUBWA WA SHIDA ZA AKINA MAMA Na Hata Ktk Vitabu Vya Dini Yesu Kristo Mara Nyingi Amekuwa AKITENDA SANA MIUJIZA KWA WANAWAKE Na Ndiyo Maana MWANAMKE AKIOMBA KIIMANI HADI KULIA MAOMBI YAKE HUSIKIKA NA KUPOKELEWA HARAKA NA MWENYEZI MUNGU KULIKO JINSIA NYINGINE ( Namaanisha WANAUME ) Na Ktk KULIAMINI HILI JIULIZENI Ni KWANINI LAANA YA MAMA INA SHIKA UPESI KULIKO YA BABA ZETU? Kumbe Watu MNA AKILI ZA KUSOMA TU VYUO VIKUU LAKINI UPEO WA KUCHAMBUA MASUALA YA KIIMANI NI " Zero Brain ". Nimesikitika Mno Ukizingatia Kuna MIJITU Humu Nilidhani INA AKILI Lakini Sasa Nimegundua Kuwa Ni MAPOPOMA WA KUTUKUKA.
 

kwa hiyo mkuu we unamwamini huyo mmama...
uponyaji wake tu unatia mashaka... hizo stika anatengeneza za nini? tena stika zinawekwa picha yake ili iweje...

hao manabii wa kujichubua na kuchonga nyusi yametokea wapi kama sio usanii tu.
mpendwa hebu fungua akili uelewe
 
kweli kabisa hata mimi nimesaidiwa mambo yangu kupitia mkono wa huyu dada

Ubarikiwe Sana Mkuu. Msemeni Mwingine ILA Siyo Mama Yangu Wa KIROHO Huyu Nabii Flora Peter Na Nitampigania Hadi Tone Langu La Mwisho Kwani Kwa MAOMBI Yake Na Jinsi Anavyowasaidia Watu Leo TULIPASHWA Tumtie Moyo Na Siyo Kumnanga Hivi Kwa Chuki Binafsi. Hata Hivyo Nyie MNAOMSEMA NABII FLORA KWANI MLILAZIMISHWA KWENDA KANISANI KWAKE? Na Kwa Jinsi Ninavyomfahamu Nabii Flora UKIENDA KWAKE KWA NIA YA KUMPIMA au KUMJARIBU Huwa ANAKUJUA Mapema Mno Na Yeye Pia HUKUPIMA HIVYO HIVYO. Sijawahi Kuona Mtu Anaenda Kwa Nabii Flora Peter Halafu Ana SHIDA YA KWELI, ANAKUWA MUWAZI, AMAJIACHIA Na KUKUBALI KUMPOKEA YESU KRISTO HALAFU ASIFANIKIWE KUPITIA MAOMBI YA NGUVU. Kwa Jinsi Ninavyompenda Nabii Flora Peter Ni Kama Ninavyompenda Rais Mtarajiwa Wa Awamu Ya Tano Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Mama Yangu Nabii Flora Peter Tafadhali Endelea Kupiga Kazi Na IPO SIKU HAWA WANAOKUSEMA VIBAYA Na KUKUCHUKIA WATAKUKUBALI Tu Kwani Ni MAPEPO Tu Ndiyo Yanawasumbua.
 

Huyu ni wakala wa Shetani na roho ya Mpinga Kristo ambayo ni ya uasi ndiyo inayotenda kazi ndani yake. Hiyo miujiza ni ya kishetani. Usipokuwa macho kumkimbia hakuna jinsi utapona kwenda jehanum ya moto. Kama shetani anaweza kujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru sembuse watumishi wake? Leo ushtuke.
 

nna amini anaemsema hajapatwa na matatizo ikafika kipindi akaona kanisa ni msaada pekee mbona hatuwasemi waganga?
 
Ni tapeli na wengi wamemstukia na hawaendi kwa wingi km zamani. Pako patupu muda mwingi na aliwahi kutabiri ktk uchaguz mdog arumeru kuwa Sioi atashinda kwa kishindo majibu yakawa Nasari alishinda kwa kishindo. Je Mungu hudanganya? Wengi wameshamjua kuwa tapeli hawaendi tena. Ni biashara kwa kwenda mbele.
 

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Simama katika nafasi yako Muombe Mungu akupe macho ya rohoni utajua meng waefeso 1: 17-24. Mungu ni mwaminifu utajua ukweli.
 

unajua ulipojibu mara ya kwanza kidogo unishawishi kuja kanisani kwa uyu mama! lakini kwa jibu la pili na la tatu ulililolitoa! umetumia hisia zaidi kuliko ukweli! huna haja ya kutokwa na povu! ulichotakiwa ni kujibu tuu maswali niliyokuuliza bila jazba au hasira au shutuma za uongo! kwani kama kitu unakijua kinachokufanya ukasirike ni nn? mbona umeanza jibu vizuri sasa unaishia na jazba! hasira au jazba ni dalili ya kuweka ukuta watu wasiongelee juu ya maswali niliyonayo! ni dalili ya kujilinda na maswali hasa kama unaelekea kushindwa! mimi nilikuwa nina doubt na TBJ lakini sasa ni fans wake mkubwa! nina maji yake! nina steaker yake! mara ya kwanza nilikuwa namuogopa! tbj lakini nilipooanza kuangalia video zake mafundisho yake basi roho wa Mungu alinipa he is a man of God! i tried something video za Nabii flora bado sijaconnect! ukiona mtu ana maswali manake ana daubt pengine nataka nije? au ni reccomend mtu! unajuaje?hivo usitumie hasira kumtetea mtumishi uyu! ulichotakiwa ujibu maswali niliyokuuliza? baasi! kuusu injili kwann mwanamke anapingwa na shetani iyo ninajua! tumeona katika video za TBJ mapepo yakiropoka jinsi yalivyoweza kumiliki kanisa! kupitia wachungaji! pepo moja likasema pale kwenye mlango wa kuingilia kuna fuvu na charm ambayo mtu yoyote anayeingia lazima akanyage akikanyaga tuu wingu la giza linamfunika kwa iyo kule ndani chochote wanachoambiwa wanafanya! ila sijasema Nabii flora ndivyo anavyofanya! mimi simpiga vita wala sitaweza mpiga vita maana Samweli(1)2-10 inasema washindanao na Bwana watapondwa kabisa! sasa nitaweza vip kushindana na Mungu? mimi through injili anayofanya mtumishi thats where spirit of God ndo ataniambia uyu ni mtumishi wake! bahati mbaya wengine wako kishabiki humu! wengine wanaropoka matusi! intetion yangu si kumpinga kiroho! intentiom yangu ni wewe kujibu maswali lakini umeanza rohoni umeishia mwilini!
 
Ukishaona kuna kundi halibarikiwi na huduma ya mtumishi wako, Omba Roho wa bwana akupe neema ya kuitambua hiyo Roho
 
Ziada.
Usimdiscuss mtumishi wa Mungu. Hata kama anakosea kumbuka Miriam na nduguze walifanywa nini kwa kumsema mtumishi wa Mungu. Mungu ana makusudi kuacha magugu na mbegu njema kuota pamoja.

Mnaotumia vifungu hivi mmekuwa upofu. Tena mwapotosha maandiko ili kuziangamiza roho
 

Onyo anamuonya nani?? Na kwa lipi???

Unaingilia maisha ya mtu tena kimuonekano, tena hilo ni kosa sana,

toeni boriti kwenye macho kwanza ndio mje mtafute vibanzi katika macho ya wengine.
 

Unasali tu lakini utu wako wa kale haujafa ndiyo maana unatokwa na maneno machafu. Utaambulia miujiza feki kutoka kwa huyo nabii feki lakini uzima wa Kristo ndani yako hamna.

Kwa taarifa yako NYOMI hata Yesu alikuwa nayo lakini akawaambia nyie mnafuata mikate tu kama ambavyo ninyi mnafuata miujiza badala ya uzima (Neno la Mungu) ambalo by the way hapo halipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…