Nabii Askofu Mwingira agoma Kupima DNA, ni katika kesi ya kuzaa na mke wa mtu

Huyu Mwingira si ndio huyo huyo alikuwa na kesi ya kutembea na mke wa wakili mmoja maarufu hapa Dar aliyetaka kumnyang'anya zawadi ya kiwanja aliyompa kwa ajili ya kanisa baada ya kugundua kuwa alikuwa anatembea na mke wake? Nilisikitika kusikia kuwa yule wakili alishindwa ile kesi. Kiwanja alichotoa akakosa na mke akaliwa. Kweli si wote wasemao Bwana, Bwana....!
jamani mmesahua kuwa huyu jamaa ni mngoni, si mnajua kuwa mngoni akipewa fedha ili azipeleke pahala fulani atazifikisha salama, ila akikabidhiwa mdala (mwanamke) ili asafiri naye, kwa kweli safari haitakamilika bila kusosomoana.
 
Back
Top Bottom