zitto jembe la ukweli,nazikubali sana siasa za huyu jamaa,tatizo wabongo uelewa watu juu ya siasa dunian ni mdogo sana,kutofautina kimtazamo hakufanyi watu wagombane,wasiwe marafiki ilihali kuna vitu vingine wanafanana.
eg zito kuwa mbunge wa cdm hakumfanyi acwe na ukaribu na mwigulu nchemba kwa kuwa tofauti zao mtazamo tu wa siasa nzito anaamini ktk cdm mwigulu katika ccm,but wote wabunge vijana,wasomi na wanuchumi,so wanaweza kukutana wakaongea mambo ya masomo pengine mmoja wao anataka kujiunga na chuo flan akitaka ushauri kwa mwingine,pia ni vijana,vijana wanamambo ya kushauriana kama vijana.
ukitaka kuelewa vizuri iman ya chama cha siasa ilivo usiitofautishe sana na iman ya dini,tunaona jinsi iman mbili za dini yani uislam na ukristo zilivotofautiana kwa kiasi kikubwa sana,lakini waumini hawa wanakuwa pamoja sana tena bila kujali iman zao za dini pale wanapokuwa kwenye jambo lingine ambalo wana mtazamo mmoja,mfano wanaposhabikia mpira yanga au simba,chelsea au man u,wapanpokuwa kwenye matazamo mmoja wa siasa eg, cdm versus ccm,wanapokuwa kwenye seminar/presentation,discussion vyuon nk,wanakuwa kitu kimoja,vivyo hivyo na siasa dunia kote ndo iko hivo.