Nabii asiekubalika nyumbani

Nabii asiekubalika nyumbani

Mkono atoboa siri za Zitto
Posted Jumanne,Januari7 2014 saa 24:0 AM

Zitto, mchana anamtuhumu Mkono kuwa fisadi, jioni anaenda kukodi gari kwake!
>> Hivi tangu 2008 mpaka sasa 2014, huyu "MZALENDO wenu ZITTO" kalipa kodi ya kukodi gari kwa NIMRODI MKONO kiasi gani?

Unganisha na hili ndio picha inakuwa "clear" zaidi:

Kwa kweli sakata la IPTL kwa muda mrefu limekuwa likitutia kichefu chefu sisi Wafanyakazi wa TANESCO hasa pale tunapomuona Mwanasheria anayeitetea TANESCO katika kesi hii ya IPTL akichota mabilioni ya fedha zetu!.

Mwanasheria wa TANESCO ambaye ni Nimrod Mkono amekuwa akitumia fedha nyingi kila kukicha lakini hadi sasa TANESCO haijawahi kushinda kesi hiyo ambapo tangu mwaka 2008 Mkono alikuwa akitumia sh bilioni kumi kila mwaka na hadi ilipofikia mwaka 2013 alikuwa ametumia fedha sh bilioni 52. Serikali imekwisha mlipa shilingi bilioni 35 na zilizobaki zimelipwa na TANESCO.

Sasa kwenye mgogoro unaoanza ni pale alipokuja Waziri Sospter Muhongo na katibu Mkuu Eliakim Maswi ambao pamoja na kwamba wanatoka Mkoa mmoja wa Mara lakini walimpinga wazi wazi bila kuficha kwamba hawapo tayari kuona akiendea kutafuna fedha za TANESCO namna hiyo na kusisitiza kutompatia kazi hiyo tena ya kuitetea TANESCO na kwamba Wanasheria wa TANESCO na wa Wizara wafanye kazi hizo wenyewe kwani gharama ni kubwa sana. Kama watu wanaweza kufanya tathmini ya haraka haraka au uchunguzi wa kawaida tangu Mwanasheria huyu asimamishwe kufanya kazi na TANESCO mambo mengi yamekuwa yakizushwa pasopo na maana wala msingi wowote mbona Mkono wakati anatafuna fedha za TANESCO suala la IPTL lilikuwa kimya
.

"Inauma Sana" ...... by mizambwa wa JF
 
huo ndio ukweli bro kamwaga,japo ni mchungu kwa wenye chuki dhidi ya kijana mwenzetu,naunga mkono hoja yako mia ya mia,.nzito ni kichwa bana tukubaki tu,huyu jamaa anaakili sana na ni mbunge mstaarabu cjapata kuona.
nimjenzi mzuri sana wa hoja za msingi na zenye nia ya wazi ya kulikomboa taifa letu,.nawhimiza na kuwaomba vijana wenzangu tumuunge mkono maana hakuna wa kufananishwa na nzito.
 
Ni. Zitto huyu huyu aliyeisaliti chadema kwa tamaa ya hela
 
Last edited by a moderator:
Mti wenye matunda mazuri, kupopolewa ndiyo jadi yake! Bravo Zitto.
 
unaweza kuta hata huo uteuzi ccm ina mkono wake, huyo ni mnafiki na kibaraka mkubwa wa magamba na ukitaka kulijua hilo angalia anavyoshabikiwa na magamba! Leo hii mashabiki wa ccm ndio hao wa act,sijui uchaguzi ukifika watamchagua nani na kutoka chama kipi!? Njaa+ tamaa ni hatari kwa ustawi wa taifa
 
Mbona huu uzi umepostiwa sana humu jukwaani tangu jana na ID's tofauti tofauti??

Moja ya Maadhimio ya wana AcT kabla haijaanzishwa Rasmi na baada ni Kuhakikisha Jina La Zitto alipotei hewani hasa humu JF, Rejea Maneno ya kwenye waraka. Sasa basi usishangae wewe lizoe tu hilo jina la Zitto na badoo!
 
zitto jembe la ukweli,nazikubali sana siasa za huyu jamaa,tatizo wabongo uelewa watu juu ya siasa dunian ni mdogo sana,kutofautina kimtazamo hakufanyi watu wagombane,wasiwe marafiki ilihali kuna vitu vingine wanafanana.
eg zito kuwa mbunge wa cdm hakumfanyi acwe na ukaribu na mwigulu nchemba kwa kuwa tofauti zao mtazamo tu wa siasa nzito anaamini ktk cdm mwigulu katika ccm,but wote wabunge vijana,wasomi na wanuchumi,so wanaweza kukutana wakaongea mambo ya masomo pengine mmoja wao anataka kujiunga na chuo flan akitaka ushauri kwa mwingine,pia ni vijana,vijana wanamambo ya kushauriana kama vijana.

ukitaka kuelewa vizuri iman ya chama cha siasa ilivo usiitofautishe sana na iman ya dini,tunaona jinsi iman mbili za dini yani uislam na ukristo zilivotofautiana kwa kiasi kikubwa sana,lakini waumini hawa wanakuwa pamoja sana tena bila kujali iman zao za dini pale wanapokuwa kwenye jambo lingine ambalo wana mtazamo mmoja,mfano wanaposhabikia mpira yanga au simba,chelsea au man u,wapanpokuwa kwenye matazamo mmoja wa siasa eg, cdm versus ccm,wanapokuwa kwenye seminar/presentation,discussion vyuon nk,wanakuwa kitu kimoja,vivyo hivyo na siasa dunia kote ndo iko hivo.
 
"Being a good person is like a goalkeeper....No matter how many goals you save, people will remember only the one you missed...Keep on doing good to people even if they don't remember all good things you did for them"
Nazani Kamwaga umemaliza kila kitu, umemuelezea Zitto kama vijana wengi wazalendo tunavyo mfahamu. Wenye macho na uelewa tumekuelewa. Zitto is like a goalkeeper. Tutaendelea kumuunga mkono katika mambo mema na kumshari anapokosea kama binadam. Zitto sio Mungu wala hana uungu wowote ni binadam kama mimi na wewe na ana mapungufu yake coz hakuna mkamifu. Ila ameteuliwa na Mungu kuwa kiongozi miongoni mwa binadam wenzake. Tangu enzi za mitume na manabii wapo watu pia waliwapinga, kuwazihaki na kuwaita majina wanayoyataka wao, kwahiyo tusiwashangae watu wa aina hiyo coz hajaanza leo wala jana wapo tangu enzi na enzi. Anapokosea tutasema na anapopatia tutampongeza. Tunaomba Zitto ufanye kama vijana wengi tunavyotarajia ili utujengee image nzuri na nje ya mipaka ya nchi yetu. Mungu akubaliki Zitto katika kufanya mambo mema na akuepushe na mambo mabaya. Ameen.
 
Mkuu Zitto hakubaliki na Chama tuu ila Watanzania wa bila kufuata siasa za upande wowote tuna mkubali kuwa ni jembe...mengine ya kichama hayanihusu...
 
JANA, Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe,
Ezekiel Kamwaga

Zitto sio mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia CHADEMA rather ni through Mahakama.
Hivyo basi kwa kuwa habari yako lmeanza na Uongo (False Preamble) Then content nzima ya habari yako yote ni Uongo na inastahili Kupuuzwa na kudharauliwa na kila mtu anayejitambua.
Binafsi sijajisumbua hata kuisoma.
Na nina amini wengi watakuwa.

Importantly,CHADEMA walishamaliza issue ya ZZK kitambo hivyo basi kuzidi kutumiwa nae kufikisha salamu za kuomba Msamaha CHADEMA hazitamsaidia.
Once a traitor you will always be.
RIP.
 
Last edited by a moderator:
Unabii wa kukubalika lazima uendane na kuaminika,sasa huyu ni nabii kweli lakini haaminiki hivyo hoja ya kupuuzwa kwake nyumbani ni kwasababu ya mashaka mengi yanayotiliwa juu yake.

Ajirekebishe na hivyo utaona kama hapewi nafasi!
 
Hakuna asiyekasoro ila wengi wetu tumekuwa mashabiki wa (watu) mtu akisema chochote tunaamini Zito kabwe ni mzalendo ana uweleledi na hakulupuki nampongeza kama Tanzania mwenzangu
 
Ezekiel kamwaga ni watu wenye busara na hakima tu wenye uzalendo wa kweli ndo wanaweza kukubali anachofanya huyu zzk au maada ulioandika mfano vijana wanakwambia ubora machafuko kuliko amani wanaona Sudan ya kusini
 
Mkakati wa Zitto, kitila na Mwigamba ni huu!


Hivyo hapa tunajibizana na Zitto na timu yake!.

Hakika mkuu kama wao wamemuona anafaa sana wampe nafasi ya Nape au Kinana maana naona wanapiga tu kelele:shock:
 
Watanzania wengi wetu ni wanafiki sana, ni kweli usiopingika kua vijana wengi tumevutwa na siasa na ujenzi wa hoja wa Zitto Kabwe ila hatutaki kusema kwa kuogopa kuitwa wanafiki.
 
Back
Top Bottom