SiliconValley
Member
- Oct 17, 2018
- 56
- 60
Ndugu wana jamvi, nina gari langu aina ya Jiefang( jeifongo) kichwa ya ng'ombe, Tani 7 Tipper ya mwaka 1994. Inafanya kazi. Nahitaji km kuna mdau anipe trekta nami nimpe gari, magari ya aina hii ninayo matatu na yote yapo kazini. Na yanatumia mafuta machache na spea zake zipo tele katika maduka ya chinease make shaurimoyo DSM. Na pia ni bei rahisi. Sasa najiandaa kuwa mkulima biashara nahitaji trekta. Aina ya trekta nalohitaji ni kuanzia HP 75 kurudi chini, kama hali italazimu itabidi nihitaji na jembe. Ila yote haya ni katika makubaliano.
Kwa mawasiliano zaidi ni PM kuendelea na mazungumzo
Kwa mawasiliano zaidi ni PM kuendelea na mazungumzo